Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,544
- 116,225
Kalishamwagwa kitamboHivi bado yuko na yule mganda ndugu yake na zari? Maana sikuhizi sizioni show off za Instagram.
Kalishamwagwa kitamboHivi bado yuko na yule mganda ndugu yake na zari? Maana sikuhizi sizioni show off za Instagram.
Husda ya mapenzi usifanye kwa mwenzako kakukosea nn..Ole thembolaKati ya watu nnaowaonaga wanaimba makolokocho ni shilole na linah
Teh teh..Hayo yalishasema sana mkuu ndo mana ameamua kuimba kusawazisha mambo...Kwamba japo alimtia makofi ila still anampenda kichizimkuu mimi naona pale alikua na lengo la kumdhalilisha kijana wa watu, maana hata kama watu walisema hivyo, kwenda kuimba kwenye nyimbo unataka yaendelee kuongelewa, naona kama anatumia sarcasm flani hivi (kutumia maneno kama unamfagilia mtu ila kumbe actually unamdhalilisha)
yeah mwenyewe naona ni za kipuuzi sana, ila hapo nilisikia huo mstari tu by chance
Wanawake wa aina hii huwa hawajui kupendwa nawahakikishia wadau kuwa huyu mwanamke ataishia kwa wale wanaopenda kupiga[kudhalilisha] wanawake. Kwani kuna wengine apigwapo ndipo anapotambua kuwa anapendwa lakini ukimdekeza anakudharau. Huyu msichana ninasikia kuwa ni mnyamwezi lakini mbona silka yake ni tofauti sana na kabila hili kubwa na lenye heshima??? Au ndiyo matotosa??????Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV.
Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba pochi.
Duuhhh!!
Hahahaah lile sauti....!!!!ila shishi baby ashukuru sound effects kwenye nyimbo zake...maana kiuhalisia saut hana hata msaga sumu anamfunika...
Akampige vibao na kumbebesha pochi huyo wa sasa aone ha ha ha.Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV.
Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba pochi.
Duuhhh!!
Kam moja anasema anaomba tishu akakojoeeeILA ila Shishi babe akihojiwa anajieleza vizuri sana kwenye interview zake