Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
MSANII wa filamu, Zuwena Mohamed Shilole ametoa kali ya mwaka na kueleza kuwa, kwa aibu aliyonayo awapo faragha na mwanume ni lazima awe amekunywa pombe la sivyo mambo hayawezi kwenda sawa.
Akizungumza na Ijumaa juzi kuhusiana na maisha yake ya kimapenzi, Shilole alisema anafanya hivyo akijua kuwa mbali na kumuondolea aibu pia pombe humpa stimu ya kimahaba na kumfanya awe mchangamfu kwa mpenzi wake.
Katika mapenzi pombe inanisaidia sana kwani najijua nilivyo na aibu, bila kunywa pombe wala sipati stimu ya mapenzi na hata nikiwa na mwanaume anaweza kuniona labda ni mshamba wa mambo hayo kumbe ni aibu tu,alisema msanii huyo.
Shilole ni msanii ambaye katika maisha yake amekuwa akiweka mbele vilevi vya aina mbalimbali ambapo katika siku za hivi karibuni aliwahi kunaswa akitafuna mirungi.
Shilole: Bila pombe nakuwa goigoi faragha - Global PublishersAkizungumza na Ijumaa juzi kuhusiana na maisha yake ya kimapenzi, Shilole alisema anafanya hivyo akijua kuwa mbali na kumuondolea aibu pia pombe humpa stimu ya kimahaba na kumfanya awe mchangamfu kwa mpenzi wake.