kabingo
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 115
- 118
Huyu msanii anaejiita Shilole binafsi simpendi kwa tabia yake ya kununua vijana hasa hawa wavivu wa kufanya kazi na kuwaoa na kuwatumikisha kingono, kuna huyu dogo ambae amemchukua anaitwa Adamu hadi anatia huruma bora hata yule wa zamani Mziwanda kidogo alikuwa anajiamini japo kwa mbali, sio huyu wa sasa maana hata shoga anaafadhali.
Hivi hasa huyu Shilole anawadanganyia nini hadi wanajikuta vijana wananga'ta nga'ta vidole huku Shilole akihiojiwa na media kuhusu hawa anao waita wapenzi wake. Alafu hawa vijana inaonekana ni wa nitaani yaani hawana wazazi. Hakuna mzazi atakubali kuona mtoto wake wa kiume akiolewa na kugeuzwa mwanamke mbele ya mwanamke huku mwanamke akitamba kuwachuka kirahisi.
Wewe unayejiita Adamu unajitia aibu wakati unauwezo wa kutafuta maisha yako. Jiandae akisha kutema Shilole uwe tayari kuaibika.