MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,515
Anlaysis ya uchumi haiko hivyo mkuu, demand ya dollar kwenye hizo nchi husika ni ndogo, ndio maana dollar ipo chini
Kitu cha buku jero
Matatizo yenu makubwa ni elimu finyu.
Thamani ya Shillingi ikiwa kubwa inakusaidia nini Mtanzania?
Ni wakati wa kutumia fursa hiyo ku export bidhaa zetu badala ya kulalamika.
Somalia wana import nn? Au congo? Very lower level of thinking, kukua kwa import kunaendana na demand for dollar baada ya kuongezeka uzalishaji, congo inaweza ikawa juu coz higher mineral export as opposed to tz
Nikiwa Lubumbashi kuelekea Kishansa nimeambiwa dola moja ya Marekani sawa 1doller=950falanga ya Congo! Wakati sie 1doller=1700TSH! Shenzy type BOT.
Tulia mkuu tunao wachumi daraja la kwanza waliobobea pale wizarani na Benki kuu. ..cream kabisa go mwigulu go mkuya go ndullu
Yes, tuna hali mbaya, lakini nikuulize swali, hivi unajua hata misingi ya hizi exchange rates au unabwabwaja tu
hakuna cha msingi wala boma-the lower the exchange rate on a dollar the best
Yen is weaker than Ethiopian Birr or Kenyan shilling. In other words I would rather (be) paid in E Birr or KShs than Yen.Wow... uko juu sana kwa kuelekea chini kiupeo, lazma utakua umesoma Harvard ya Mkwawa au Same
Vipi exchange rate ya YEN nayo dhaifu ukilinganisha na baadhi ya nchi za africa kwa mfano Kenya, au Ethiopia??
Au ndio mcharuko wa kudandia hoja bila kujua mengine aisee
Cc Mwigulu Nchemba Ndiye Mchumi Daraja La Kwanza Pale BOT MuuliZe,Tena Subiri Mia Tano Ya Sarafu Soon.CCM OYEEE!
Matatizo yenu makubwa ni elimu finyu.
Thamani ya Shillingi ikiwa kubwa inakusaidia nini Mtanzania?
Ni wakati wa kutumia fursa hiyo ku export bidhaa zetu badala ya kulalamika.
Anlaysis ya uchumi haiko hivyo mkuu, demand ya dollar kwenye hizo nchi husika ni ndogo, ndio maana dollar ipo chini