Shilingi ya Tanzania inaporomoka, wachumi wetu mbona hamuongei chochote?

Shilingi ya Tanzania inaporomoka, wachumi wetu mbona hamuongei chochote?

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
10,651
Reaction score
22,817
Wachumi mbona mpo kimya na hamna maelezo?

Waziri mwenye dhamana,nini kinaendelea katika uchumi wetu?
 

Attachments

  • IMG_20250608_105301.jpg
    IMG_20250608_105301.jpg
    134.8 KB · Views: 19
Jibu tosha la swali hili ni no reforms no election
 
Kuna baadhi ya sababu hazihitaji kuwa mtaalamu wa uchumi.
  • Kuuza bidhaa ghafi nje ya nchi mfano pamba,korosho,madini
  • Kuagiza bidhaa kutoka nje kupita kikomo. Sasa mpaka njiti za vibiriti na sabuni tunanunua kutoka nje ya nchi.
  • Mikopo mikubwa kwa ajili ya miradi isiyokuwa na tija au uendeshaji mbovu.
  • Viongozi wabinafsi
 
Kwa kifupi balance of trade and balance of payments ni unfavourable, imports zime exceed exports thus tunahitaji foreign currency ku-finance imports wakati tunazopata kutokana na exports ni kidogo, kwa kifupi production in an economy is low na consumption iko high, no surplus tunachozalisha ni kidogo, no surplus no saving for investment ili tu-create employment in large scale ili kupunguza imports na kuongeza exports.
 
Kamsikilize yule tumbili 🐒 wa PPP anavyopiga uradi kwa mama yake
Yule msoma makaratazi tokea zamani nilishaona hakuna kichwa pale. Maneno mengi na unoko ndivyo vilimpa jina ila hakuna kiongozi tazama leo anavyojidhihirisha upumbavu wake.
 
Yule msoma makaratazi tokea zamani nilishaona hakuna kichwa pale. Maneno mengi na unoko ndivyo vilimpa jina ila hakuna kiongozi tazama leo anavyojidhihirisha upumbavu wake.
Watu wanajitoa akili ili waifaidi keki 🍰 ya taifa
 
Watu wako bize na keki ya taifa kujenga maisha yao na watoto wake. Hawana uwo muda wakuifiaa inchi
 
Back
Top Bottom