The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.
Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola
Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi huku kukiwa na hali ya kutia wasiwasi juu ya kuendelea kuporomoka kwa shilingi...
Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika.
Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT.
Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311.
Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
Wanajamvi, salaam
Naenda moja kwa moja kwenye point
Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
Wakuu turejee.
Huwa najiuliza. Wanaohusika ku adjust (kupandisha na kushusha) thamani ya pesa kwenye mataifa ya kidunia ni nani (najua hii process haifanyei na mungu inafanywa na binadamu)
Pia nilikua najiuliza, Kenya mbona sometimes uchumi wake unayumba lakini thamani yake ya pesa inanaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.