Shikamooo whatsapp ...!!

Shikamooo whatsapp ...!!

Mkweli77

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,459
Reaction score
1,142
Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat..

Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at'
Imekaa kimbea kweli,sometimesmtu umeboreka,haukokwenye mood ya mahaba,ila ukionekana uko online na hujamtumia SMS laaziz eti anawaka,''anhaaa unachat na mahawara zako eeh,uko online hata hunitext''
Kwani kuwa online lazima nikutext??Sina watu wengine wa kuchat nao hadi na wewe uwemo??

Mbona mapenzi yanakuwa magumu hivi jamani??
Nikikutana na owner wa Whatsap,sijui anaitwa Jimmy Balsamik ntamwambia atoe hii icon ya kimbea,inavunja sana ndoa..

Last seen my foot...Mtu unaaga sa4 umelala unaonekana last seen sa9 usiku,sikia hilo zogo lake,kumbe maskini ulishtuka kwenda kukojoa ukasoma msg ukalala,utajieleza kama katibu wa CUF na hutaeleweka...

Shkamoo Whatsap!
 
Hiyo 'last seen' haina tofauti sana na kumwambia mtu ulipitiwa na usingizi ndio maana hukumpigia/pokea simu yake usiku wakati alishapiga na kukuta iko 'busy'. Au kumwambia hukuwa na credit ya kumpigia wakati simu yako imejaa outgoing calls/txt msgs.

Kama hayo uliyosema yakitokea upande wa pili hutoona tatizo lolote basi mwambie tena msisitizie kwamba sio yeye tu mwenye haki ya kuchat na wewe. Wala sio kila wakati unataka/jisikia kuchat nae.

Who knows, unaweza ukashangaa anachukulia poa kuliko unavyolalamika hapa bila yeye kujua unafikiria nini kichwani mwako. Alafu na yeye akianza kukupotezea huko watssap usianze kuwa na maswali.
 
Duhh ebaneeh m nilidhani hlo janga langu mwenywe kumbe tupo wengi kwa kweeli last seen mpka hivi ssa imesha ni vunjia uhusiano tena kwa manen makali makali nadhani hapa pafanyiwe changes.
 
Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat..

Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at'
Imekaa kimbea kweli,sometimesmtu umeboreka,haukokwenye mood ya mahaba,ila ukionekana uko online na hujamtumia SMS laaziz eti anawaka,''anhaaa unachat na mahawara zako eeh,uko online hata hunitext''
Kwani kuwa online lazima nikutext??Sina watu wengine wa kuchat nao hadi na wewe uwemo??

Mbona mapenzi yanakuwa magumu hivi jamani??
Nikikutana na owner wa Whatsap,sijui anaitwa Jimmy Balsamik ntamwambia atoe hii icon ya kimbea,inavunja sana ndoa..

Last seen my foot...Mtu unaaga sa4 umelala unaonekana last seen sa9 usiku,sikia hilo zogo lake,kumbe maskini ulishtuka kwenda kukojoa ukasoma msg ukalala,utajieleza kama katibu wa CUF na hutaeleweka...

Shkamoo Whatsap!

hahaha me juzi nlikuja na uzi wa kuomba how kurekebisha hiyo last seen.. Unajisetia zako last seen at 7am.. Kumbe kutwa unachat!au hata kama huchat unaangalia profile za watu na status zao..lol!
Me nlkuwa naboreka yani unasoma msg tuu tayar mtu kakuona kakuwahi hi!!!
Kuna siku nlisahau kutoka nkasinzia huku npo on watsap!!!! Lol kila mtu yupo hulali!! Kumbe wala maskin!
So mkuu go to that thread kuna wakuu wameelezea jinsi ya kusolve hili tatizo.
 
Ahsante saana ase, ngoja niutafute huo uzi
 
mi ndo nime diactivate kabisa wasap

nitarudi Manaake ishakuwa tabu
 
Haya mambo ya mtandao yana advantages na disadvantages zake....
Ila mdogo mdogo tutafika...
 
Nenda kwenye play store download to hide-whatsapp-status.

Itumie kwa busara please. Say No to cheating
 
Yaan whatsapp fulu majanga........me kuna kijama kiliniletea swaga za kunitongoza sasa nilipomkatalia fulu kuweka picha za mademu looooh kaz ipo kweli na hiyo mambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom