Yaan whatsapp fulu majanga........me kuna kijama kiliniletea swaga za kunitongoza sasa nilipomkatalia fulu kuweka picha za mademu looooh kaz ipo kweli na hiyo mambo
Yaan whatsapp fulu majanga........me kuna kijama kiliniletea swaga za kunitongoza sasa nilipomkatalia fulu kuweka picha za mademu looooh kaz ipo kweli na hiyo mambo
usisahau na zile status
1."ipigani na maneno napigana na
2.hatuachani miaka 1000000
3.anayenichukia shauri yako
4.Nyani haoni kundule
5.huna haya wewe kibibi kushindana na mie
e.t.c
watu wanarushiana maneno kupitia status
Ulimkatalia huku unampendaeee?
Ama? Sasa majanga ya nn yeye kuweka pics za wasichana wake?
ha ha ha..
Mmh au roho inakuuma best? kama umeamua kumpotezea ungemuach na ushamb wake pengine na namba ungefuta
Sina hata time nae zaid yakumuona mshamba.....kipnd chote huwek pic,umetolewa baluu ss ndo fulu kuweka picha.Ndan ya dk 2 picha 5 zimewekwa km sio ushamba nn???
Hiyo 'last seen' haina tofauti sana na kumwambia mtu ulipitiwa na usingizi ndio maana hukumpigia/pokea simu yake usiku wakati alishapiga na kukuta iko 'busy'. Au kumwambia hukuwa na credit ya kumpigia wakati simu yako imejaa outgoing calls/txt msgs.
Kama hayo uliyosema yakitokea upande wa pili hutoona tatizo lolote basi mwambie tena msisitizie kwamba sio yeye tu mwenye haki ya kuchat na wewe. Wala sio kila wakati unataka/jisikia kuchat nae.
Who knows, unaweza ukashangaa anachukulia poa kuliko unavyolalamika hapa bila yeye kujua unafikiria nini kichwani mwako. Alafu na yeye akianza kukupotezea huko watssap usianze kuwa na maswali.
Sure, mwana wa Ngabu ​yupo toka kipindi cha JamboForums.Lol.mkuu msamehe tu bure..hajui kuwa wewe ni jf kitambo na signature yako unaimiliki kihalali.