FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Lizzy nimekumissHiyo 'last seen' haina tofauti sana na kumwambia mtu ulipitiwa na usingizi ndio maana hukumpigia/pokea simu yake usiku wakati alishapiga na kukuta iko 'busy'. Au kumwambia hukuwa na credit ya kumpigia wakati simu yako imejaa outgoing calls/txt msgs.
Kama hayo uliyosema yakitokea upande wa pili hutoona tatizo lolote basi mwambie tena msisitizie kwamba sio yeye tu mwenye haki ya kuchat na wewe. Wala sio kila wakati unataka/jisikia kuchat nae.
Who knows, unaweza ukashangaa anachukulia poa kuliko unavyolalamika hapa bila yeye kujua unafikiria nini kichwani mwako. Alafu na yeye akianza kukupotezea huko watssap usianze kuwa na maswali.
Mie sipendi watsapp kabisa
Last edited by a moderator: