Shikamoo SUMATRA, kumbe mnaweza!

Shikamoo SUMATRA, kumbe mnaweza!

malemwalini ndege st: 19491464 said:
Salm wana wa JF
Kumbe Tz Sumatra Mnaweza kuzuia ajari na watu tukatembea kwa amani pasipo kuskia hajari
Nawapongeza kwa kufunga GPRS kwa Magari yanayotokea Mwanza kwenda Dar kiukweli madereva wanaendesha kwa nidhamu kubwa na kwa kujari vibao vyote vya barabaran japo tumelala Morogoto

Wanabodi mnalionaje ili
Mimi nafikiria lini ndege itaanza safari za kuja huku nilipo wewe unafurahia kulala Moro,,,tena kwenye basi,,Dahhh kweli MTU hufikiria kulingana na mazingira YAke,,,,
Karne hii si ya kulala kwenye mabasi ndugu,,,mjukuuu Wa BABu Maguu
 
Salm wana wa JF
Kumbe Tz Sumatra Mnaweza kuzuia ajari na watu tukatembea kwa amani pasipo kuskia hajari
Nawapongeza kwa kufunga GPRS kwa Magari yanayotokea Mwanza kwenda Dar kiukweli madereva wanaendesha kwa nidhamu kubwa na kwa kujari vibao vyote vya barabaran japo tumelala Morogoto

Wanabodi mnalionaje ili
Fikiria ajali ya ndege uingie kwenye kumbukumbu sio kulala kwenye basi!!
 
Unafurahia kulala morogoro kwenye bus? Duuh, ingekuwa pouwa kama ungefika safari yako yaani sumatra waruhusu 24 hrs bus zitembee bila restriction ya kupaki bus usiku
Hivi mantiki ya kuzuia magari kutembea hadi "usiku mwingi" ni nini? Ni hofu ya madereva kusinzia ama ni ujambazi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom