Shikamoo SUMATRA, kumbe mnaweza!

Shikamoo SUMATRA, kumbe mnaweza!

tatizo zikitokea ajali tunakimbili kudhani zimesababishwa na mwendo kasi tunasahau kuna vitu vingine vinachangia kama ubovu wa barabara, matairi kuwa chini ya viwango, mifumo ya break za magari kuna kipindi marekani waligundua ubovu wa mfumo mbovu wa break wa magari ya toyota ikabidi toyota zote zirudishwe na faini juu na juzijuzi wamegundua udanganyifu uliofanywa na kampuni ya VW wakaipiga faini kubwa.Tutaendelea kudhibiti mwendo lakini bila kuchunguza sababu nyingine bado ajali zitaendelea kutokea
 
Scania...kama "KISBO"...Speed 180 unakuwa ushafuta kibakuli...zhong tong ni 140..
Ha ha ha kisbo mzee kibko aisee,wanazunguka singida lakin yule aliekatiza kati itigi anachelewa zaid yke,,,nawakubali kisbo haajawai kuni let down
 
Ajari = ajali
Hajari = ajali
Kujari = kujali
Morogoto = Morogoro
Kuskia = kusikia
Barabaran = barabarani.
Ili = hili

Typo hizi ni no big deal na ujumbe umeeleweka ila inafurahisha kusoma thread iliyoandikwa kwa umakini na siyo kuripuliwa namna hii.
**************************
Mkuu ulikereka kulala Morogoro au ulifurahia kwa vile basi lilienda kwa kuzingatia mwendo unaotakiwa? Naona kama vile hujafurahia kulala Morogoro...

Kuripuliwa = kulipuliwa
 
Watanzania bhana.
Issue siyo speed tu. Kuna issue ya used tires zinazokuwa recycled once again.
TBS kulala usingizi mzito.

Kulala Morogoro ni hatari sn kwa wanafunzi wa sec na wanachuo wasio jielewa. Na hata baadhi ya ndoa za weza ingia shakani.

Kulala njiani ni kuongezeana gharama zisizo na tija.

Solution hapo ni magari kuwa na madereva wawili kama AKAMBA/SCANDINAVIA walivyo kuwa wakifanya kwa route zao toka Tz to Kenya.
Pia POLISI watumike muda wa usiku. Kenya mabus husafiri usiku-iweje Tz tushindwe?

Iwapo unashabikia hilo jambo ni bora SUMATRA watoe Order kampuni za YOUTONG, AIRBUS, SCANIA, nk watengeneze mabus ya Tz yasiyo zidi speed 80 au 100. Make wamilikihuingia gharama kwa kulipia gari la speed kubwa na Engine kubwa ili hali hazina kazi Tz.
Kama kuna kitu sijawahi kukielewa hapa duniani ni EXCUSE ya usalama inayofanya mabasi yasisafiri usiku hapa Tanzania.

Kuwahi kufika ndio kunakotugharimu. Ikiwapo ruksa ya kutembea usiku, madereva wataenda taratibu tu. Mbona saa ya kutukong'ota askari huwa wanatosha lkn saa ya kulinda hawatoshi?
 
Ajari = ajali
Hajari = ajali
Kujari = kujali
Morogoto = Morogoro
Kuskia = kusikia
Barabaran = barabarani.
Ili = hili

Typo hizi ni no big deal na ujumbe umeeleweka ila inafurahisha kusoma thread iliyoandikwa kwa umakini na siyo kulipuliwa namna hii.
**************************
Mkuu ulikereka kulala Morogoro au ulifurahia kwa vile basi lilienda kwa kuzingatia mwendo unaotakiwa? Naona kama vile hujafurahia kulala Morogoro...
people used to die in the, the, the rake
 
Kama kuna kitu sijawahi kukielewa hapa duniani ni EXCUSE ya usalama inayofanya mabasi yasisafiri usiku hapa Tanzania.

Kuwahi kufika ndio kunakotugharimu. Ikiwapo ruksa ya kutembea usiku, madereva wataenda taratibu tu. Mbona saa ya kutukong'ota askari huwa wanatosha lkn saa ya kulinda hawatoshi?
Hapo ndio huwa nashanga. Kenya askari hupangwa kila barrier usiku.
Mf kila km 10.
Hapa kwetu ni rushwa. Barrier ni dili.
Kenya kuna tishio la Al shabab lakini mabasi husafiri usiku.

Eti Tz vijambazi tu vimezuia karbu masaa 8 kutotumika!!


RIP DEMOKRASIA
 
Hapo ndio huwa nashanga. Kenya askari hupangwa kila barrier usiku.
Mf kila km 10.
Hapa kwetu ni rushwa. Barrier ni dili.
Kenya kuna tishio la Al shabab lakini mabasi husafiri usiku.

Eti Tz vijambazi tu vimezuia karbu masaa 8 kutotumika!!


RIP DEMOKRASIA
Yah, Kenya ni mfano mzuri. Hali yao ni tete lkn wako macho 24/7 biashara zinafanyika. Sisi kama kuku, giza linaamua mwisho wa kutembea.

Kama unafanya kazi ya kuajiriwa na biashara ndio utaona ugumu wa kuwa kuku. Ingekuwa tunatembea usiku, ningetoka Dodoma na basi la jioni baada ya kutoka kazini, nikafika Dar alfajiri, nikafunga bidhaa zangu mchana kutwa na jioni nikakwea basi lingine kurudi Dom. Anayeendesha ni dereva, mm nalala. Alfajiri nikiwa Dom, biashara na kazi viko balanced.

Lkn kwa mtindo giza ndio master, unahitaji 3 days kuja kununua mitumba na kuifikisha mkoani.

Tuanze na viwanda vya kutengeneza usalama
 
Yah, Kenya ni mfano mzuri. Hali yao ni tete lkn wako macho 24/7 biashara zinafanyika. Sisi kama kuku, giza linaamua mwisho wa kutembea.

Kama unafanya kazi ya kuajiriwa na biashara ndio utaona ugumu wa kuwa kuku. Ingekuwa tunatembea usiku, ningetoka Dodoma na basi la jioni baada ya kutoka, nikafika Dar alfajiri, nikafunga bidhaa zangu mchana kutwa na jioni nikakwea basi lingine kurudi Dom. Anayeendesha ni dereva, mm nalala. Alfajiri nikiwa Dom, biashara na kazi viko balanced.

Lkn kwa mtindo giza ndio master, unahitaji 3 days kuja kununua mitumba na kuifikisha mkoani.

Tuanze na viwanda vya kutengeneza usalama
Sasa mkuu Wabunge ndio akina MLINGA. Tutarajie nn?

RIP DEMOKRASIA
 
Napendekeza spidi iongezwe toka 80kph mpaka 110kph na penye 50kph iwe 70kph.
Kwa barabara zetu zilivyo nyembamba na mbovu, hakika hilo pendekezo lako litatumaliza. Barabara zetu ni nyembamba mno; na mahala pengi unatembea kwenye lami, lakini utafikiri unapita juu ya barabara ya vumbi. Kwani gari haitulii ni kuchezacheza tu kutokana na barabara kutokuwa smooth.

Tukiwa na barabara pana na zilizo smooth, hakika hata no speed limit (kwenye highway tu) nitakubaliana nayo.

Highway kama ya Dar-Moro ilipaswa iwe na lanes angalau tatu kila upande. Moro-Dodoma, lanes mbili; Dodoma-Singida lanes mbili n.k.
 
Bado ni lazima madereva wajali uhai wa abiria bila kushurutishwa hapo ndio tutapunguza ajali
 
Kumekuwepo na nidhamu sana kwa madereva[
/QUOTE]
wewe ndiye wa ajabu kweli kwelina kama umetokea Kanda ya Ziwa usikute unapenda kamchezo ka usiku
badala ya kuombea magari yatembee 24hrs na yaingie DSM kwa siku moja unatamani uwe unalala kwenye viti mkisogowa na wake za wati
Kuna kosa gani gari kutembea seed 100km/h mbona magari ya SUMATRA yana speed 240 na wanatumia hivyo. yapo ya watu binafsi, ya serikali bado na treni utafikisha 160km/h

kweli abiria WANATESEKA NJIANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom