Shikamoo SUMATRA, kumbe mnaweza!

Shikamoo SUMATRA, kumbe mnaweza!

Sumatra watueleze hayo mahela wanayochukua kwenye malori ya mizigo wanayapeleka wapi?wao wakomae na vyombo vya abiria na majini,malori wawaachie "tanroads"kwani lori likioverload tanroad wanazaa na wewe.
 
Salm wana wa JF
Kumbe Tz Sumatra Mnaweza kuzuia ajari na watu tukatembea kwa amani pasipo kuskia hajari
Nawapongeza kwa kufunga GPRS kwa Magari yanayotokea Mwanza kwenda Dar kiukweli madereva wanaendesha kwa nidhamu kubwa na kwa kujari vibao vyote vya barabaran japo tumelala Morogoto

Wanabodi mnalionaje ili
hajari = ajali
 
Ajari = ajali
Hajari = ajali
Kujari = kujali
Morogoto = Morogoro
Kuskia = kusikia
Barabaran = barabarani.
Ili = hili

Typo hizi ni no big deal na ujumbe umeeleweka ila inafurahisha kusoma thread iliyoandikwa kwa umakini na siyo kuripuliwa namna hii.
**************************
Mkuu ulikereka kulala Morogoro au ulifurahia kwa vile basi lilienda kwa kuzingatia mwendo unaotakiwa? Naona kama vile hujafurahia kulala Morogoro...
Kuripuliwa=kulipuliwa
Inapendeza kusoma masahihisho ambayo hayajakosewa pia
 
You have written something good,the same idea i had too! Let them increas their followup to make sure that no accifent occurs
 
Ni ngumu kumaliza ajali, kuanzia saa 1 usiku gari zinakimbia kupita kiasi.
Mkuu watu wa Sumatra wanafanya kazi masaa 24 hivyo kukimbia usiku kwa sasa ni ngumu na Mimi nilijua hivyo
Ila huo mtambo unatuma taarifa kila Mara na wao wanazifanyia kazi kesho yake kwa kukamatwa na kufikishwa mahakamani
 
Tumeadvance hivyo? basi hakuna haja ya kuwa na trafic
 
Ajari = ajali
Hajari = ajali
Kujari = kujali
Morogoto = Morogoro
Kuskia = kusikia
Barabaran = barabarani.
Ili = hili

Typo hizi ni no big deal na ujumbe umeeleweka ila inafurahisha kusoma thread iliyoandikwa kwa umakini na siyo kuripuliwa namna hii.
**************************
Mkuu ulikereka kulala Morogoro au ulifurahia kwa vile basi lilienda kwa kuzingatia mwendo unaotakiwa? Naona kama vile hujafurahia kulala Morogoro...
faiza fox wanakurithi kazi yako huku
 
Ulikaa seat na mrembo nini halafu ukang'oa. Unapongeza safari ya km 1000 kulala wenzio muda unakuwa Mali sana na ajali zipo sababu nyingi ambazo wewe na Sumatra mnajitoa fahamu.
Kukaa seat na mrembo
Rahaa sana hadi kuja kucha
 
hivi kweli kwa barabara za leo, magari ya aina ya leo Youtong,Scania, Eicher, Coaster, Hino, Isuzu, VX, VX V8, Prado, Alteza, Subaru ambazo nyingine zina speeed hadi 240 bado tunatembea na speed 80 per hour??

sheria iliyotungwa wakati barabara vumbi, kokoto au changarawe tena magari yake yalikua ma Fiat au Leyland ambazo zilikua na speed 100 had 120 huo ndio ulikua wakati sahihi wa kutumia hiyo speed, sio miaka hii wakuuu......!!

sheria ya kutembea 80km/h ni ya kizamani, enzi za mababu zetu...
siku izi inabidi ipande mpaka 120 km/h au hata 140km/h.
ajali zinasabibishwa na mamo mengi ikiwemo uzembe, ubovu wa gari na hali ya hewa.
Tunarudishwa kuleeee!!
 
Watanzania bhana.
Issue siyo speed tu. Kuna issue ya used tires zinazokuwa recycled once again.
TBS kulala usingizi mzito.

Kulala Morogoro ni hatari sn kwa wanafunzi wa sec na wanachuo wasio jielewa. Na hata baadhi ya ndoa za weza ingia shakani.

Kulala njiani ni kuongezeana gharama zisizo na tija.

Solution hapo ni magari kuwa na madereva wawili kama AKAMBA/SCANDINAVIA walivyo kuwa wakifanya kwa route zao toka Tz to Kenya.
Pia POLISI watumike muda wa usiku. Kenya mabus husafiri usiku-iweje Tz tushindwe?

Iwapo unashabikia hilo jambo ni bora SUMATRA watoe Order kampuni za YOUTONG, AIRBUS, SCANIA, nk watengeneze mabus ya Tz yasiyo zidi speed 80 au 100. Make wamilikihuingia gharama kwa kulipia gari la speed kubwa na Engine kubwa ili hali hazina kazi Tz.
 
Mkuu maneno kuntu hayo
Kiukweli nilikuwa sijapanga kulala njian na sikujua
Gharama zimeongezeka
Na ni kuongezeana ukimwi tu!
 
Ajari = ajali
Hajari = ajali
Kujari = kujali
Morogoto = Morogoro
Kuskia = kusikia
Barabaran = barabarani.
Ili = hili

Typo hizi ni no big deal na ujumbe umeeleweka ila inafurahisha kusoma thread iliyoandikwa kwa umakini na siyo kuripuliwa namna hii.
**************************
Mkuu ulikereka kulala Morogoro au ulifurahia kwa vile basi lilienda kwa kuzingatia mwendo unaotakiwa? Naona kama vile hujafurahia kulala Morogoro...
Kuripuliwa=kulipuliwa
Usikarike mkuu,muosha huoshwa!
 
Ajari = ajali
Hajari = ajali
Kujari = kujali
Morogoto = Morogoro
Kuskia = kusikia
Barabaran = barabarani.
Ili = hili

Typo hizi ni no big deal na ujumbe umeeleweka ila inafurahisha kusoma thread iliyoandikwa kwa umakini na siyo kuripuliwa namna hii.
**************************
Mkuu ulikereka kulala Morogoro au ulifurahia kwa vile basi lilienda kwa kuzingatia mwendo unaotakiwa? Naona kama vile hujafurahia kulala Morogoro...
Kuripuliwa-kulipuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom