Salam wana wa JF,
Kumbe Tz SUMATRA mnaweza kuzuia ajali na watu tukatembea kwa amani pasipo kusikia ajali. Nawapongeza kwa kufunga GPRS kwa magari yanayotokea Mwanza kwenda Dar, kiukweli madereva wanaendesha kwa nidhamu kubwa na kwa kujali vibao vyote vya barabarani japo tumelala.
Wanabodi mnalionaje hili?