Shikamoo skuna

Nimeina whatsup but sikuona viatu. Duuuuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Kupatwa kwa skuna!!"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakolomije huyo anahofia uhakiki wa v.y.e.t.i
 
Hii kitu kweli WhatsApp imesambaa mno... Kila msg ya kijinga ya kusambazwa naifuta hapo hapo bora iwe humu Jf... Hizi alizovaa mchizi zamani ziliitwa Sido made in Tanzania kuwa mzalendo vaa cha Tanzania huku Nyerere akizuia mitumba nchini Mafundi Juma Wa vyerehani walikuwa wanapiga pesa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…