Shikamoo Mulugo

Status
Not open for further replies.

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307

JINA HALISI: Philipo Augustino Mulugo

ELIMU: "FAILURE" Darasa la Saba, 1988

JINA FEKI: Hamimu Hassan

ELIMU: Darasa la Saba, 1989 (Baada ya kufeli mwaka 1988)

JI...NA FEKI: Hamimu Augustino

ELIMU: "O-Level" 1990~1993

JINA FEKI: Hamimu Mulugo

ELIMU: "A-Level" 1994~1996

JINA FEKI: Dick Aron Mulungu

KAZI: Mwalimu katika Shule ya Sekondari ya Southern Highlands. Hii ni baada ya kutumia vyeti vya rafiki yake aitwaye Dick Aron Mulungu ili kupata kazi ya ualimu. Pamoja na kutokuwa na cheti cha ualimu, aliteuliwa kuwa "headmaster" baada ya mmiliki wa shule hiyo kufariki.

LEO HII: Philipo Augustino Mulugo (MB) ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
 
Marahaba! Zubaa utachekwa. Kimjini mjini kila mtu na maisha yake. Akili kimkichwa. Shauri yako.
Wa kwanza mimi kunanilii, nenda mawizarani, nenda BOT, nenda ikulu.
Ukistajabu ya kwangu ya Musa je ya firauni. Acheni umbeya
 
Tanganyika + Zimbabwe in the year 11964= Tanzania..
 
yeye mwenyewe hata darasa la saba hajawahi kufaulu hata baada ya kurudia...what do you expect kwa watoto wetu...

yaani 1988 anamaliza std seven lakini anaonekana mzee aliyemalizadarasa la nne au middle school mwaka 1959.....anakula nini huyu?
 
mmmmmmh no wonder:A S shade:
 
Mwanafunzi huyo mwalimu wake alikuwa gfsonwin.

Mwalimu anatoa wanafunzi waliofaulu vizuri sana huyu. gfsonwin) Except huyo mwanafunzi tajwa hapo juu!


Full KIHIYO LOL !!
 
Last edited by a moderator:
Jk ameteua watu wanaofanana na yeye.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Rais wetu atata futa mchawi kwanini timu yake inashindwa kutimiza wajibu wake?
 
mi nataka kulewa wajameni niipotezee hii ishu!
 

Ha ha ha ha,JK Wape mashavu wana,halafu mnataka kupiga hatua kwa viongozi wa aina hii
 
Hiyo radhi unayotakikana kuitaka kutoka kwa mwalimu! Sijui!
Ila aisee!
Mwanafunzi huyo mwalimu wake alikuwa gfsonwin.

Mwalimu anatoa wanafunzi waliofaulu vizuri sana huyu. gfsonwin) Except huyo mwanafunzi tajwa hapo juu!


Full KIHIYO LOL !!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…