Nimesikiliza Press ya familia ya bwana Allan aliyedaiwa kutekwa na kuachiwa hapo jana, Jina la bwanaBernard Membe limetajwa na Shkrani nyingi kwake kwa kufanikisha kuachiwa kwa huyu bwana.
Ni ukweli usiyepinginga Bwana membe ni Mbobezi kwenye masuala mazima ya Ujasusi, Inawezekana Membe ametumia taaluma yake kusaidia kupatikana kwa huyu Bwana?
Yaani jamaa ni kama vile alikua pale kilimanjaro hotel anakula buger, sio kwa kung'aa vile!