Hatari unaweza ukajikuta una mawazo msimu mzimaHasa kama ulikuwa umetoa lock
Ni noma asee akiwa dada angu nitamshauri kabla ya make up ashikilie Nokia Obama yangu I hope after make up itakuwa iPhone flan amazing...hereni hazijaachwa salama kwa kweli
Date ya kwanza huwa nawapeleka swimming