Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Sifa za KIJINGA!
Wewe ni mwanaume wa kike au wa kiume?
Kina dada wa kiume wakoje...?
Labda huu uzi upo dedicated kwa wadada wa kiume (mashoga). :eyebrows:
marhaba hopefuly hujambo,nilikupendea uzee wako lkn kama umerekebisha umri ukawa kijana wa 30 sikutaki tena,pia utakua hela zote umemalizia kwenye hayo marekebisha hutaweza tena kunipeleka dinner za maana.

Cheusie wafanya nini hapa? oohoooo!!! lol
teh teh teh,
ngoja nimwambie jamaa arudi huko ughaibuni wamrudishie umri wake na hela zake walizochukua labda anaweza kukupata etii
ucjali kungwi wangu,si umeona jibu nililompa lazima akate tamaa..baada ya hayo nakusalimia sana nikitumai hujambo.