Shikamoo Jiwe kweli tumekubali matokeo

Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,053
4,595
*Jiwe oyeeee*

*LUGHA MAARUFU ENZI ZILEEE*

1. Lete Kama Tulivyokaa

2. Muongeze 5 huyo

3. Mbona bia haziendi?

4. Usiulize, wee Ongeza tu

5. Mbona jikoni hawatusikilizi??

6. Aah,tunahudumiwa na dume?

7. Nimesema Mbuzi mzima!!

8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?

9. Kuna watu wanabusu bia!

10. Hamishia opena hapa hapa?

*ZAMA HIZI SASA*

1. Waruke wote, sijaja nao mimi

2. Mmh, kaongeza nyingine?

3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?

4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki

5. Tumekula majumbani kwetu

6. Nitamnunulia kaunta mwenyewe

7. Mna kongoro?

8. Lete supu tu bila finyango kwani shi'ngapi?

9. Siku hizi inashauriwa bia 2 tu kwa afya

10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua

11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine sizijui...
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
NA BADOOO! WAKRISTU WAKATOLIKI ZAMA HIZO WALIKUA WANAIMBA TUTALIA NA KUSAGA MENO. LK 13:28
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Uwii basi la kwangu litakuwa limechoka, maana siwezi kulala bila kunywa. hata kama wanasema awamu hii imebana lakini sijawahi kukosa fungu la bia kila nikitoka kibaruani jioni
K-Vant na spirit nyingine ni mbaya zaidi. Hata hivyo unafahamu ni nini sababu ya kunywa pombe kila siku?
 
Nadhani hujaielewa dhana nzima ya huu uzi upitie upya utauelewa maana hakuna pahali panaposema watu hawanywi siku ama siyo sehemu ya pili ya huo uzi inayosema muuzaji nilitee mimi hao sikuja nao isingekuwepo.

Tuwe tunajitahidu kuelewa mada. Ni hilo tu
Ukipata muda usome comment ya Sky Eclat ambaye nili mnukuuu!!
Naamini umenielewa mkuu
 
Nadhani hujaielewa dhana nzima ya huu uzi upitie upya utauelewa maana hakuna pahali panaposema watu hawanywi siku ama siyo sehemu ya pili ya huo uzi inayosema muuzaji nilitee mimi hao sikuja nao isingekuwepo.

Tuwe tunajitahidu kuelewa mada. Ni hilo tu
Sorry nimekuelewa lengo lilikua kumjibu mwingine. Narudia tena samahani
 
Bia haijawai kushuka thamani tuna kunywa sana na wanywaji tunapendana sana
Nadhani hujaielewa dhana nzima ya huu uzi upitie upya utauelewa maana hakuna pahali panaposema watu hawanywi siku ama siyo sehemu ya pili ya huo uzi inayosema muuzaji nilitee mimi hao sikuja nao isingekuwepo.

Tuwe tunajitahidu kuelewa mada. Ni hilo tu
 
asee we mkuu naomba chukua kichuli nakuja lipa asee inaonekana nawe ni mpiga tungi sio kwa pigo za kikinkii hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom