Kilabuni.. Bar.. Grocery... Lugha MAARUFU ENZI ZILEEE.....

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,938
1. Lete Tulivyokaa

2. Muongeze 5 huyo

3. Mbona bia haziendi?

4. Usiulize, wee Ongeza tu

5. Mbona jikoni hawatusikilizi??

6. Aah,tunahudumiwa na dume?

7. Nimesema Mbuzi mzima!!

8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?

9. Kuna watu wanabusu bia!

10. Hamishia opener hapa hapa?

*ZAMA HIZI SASA....*

1. Lete kirikuu moja. Hao waulize wenyewe sijaja nao mimi

2. Mmh, umeongeza nyingine nani kakwambia?

3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?

4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki

5. Nimeshakula home, nimekuja kunywa bia 2 tu kwa afya

6. Nitanunulia kaunta mwenyewe

7. Mna kongoro?

8. Supu tu bila finyango kwani shingaa?

9. Nani kakaambia uweke kwe bill yangu.? nalipa nilizokunywa mimi tu.

10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua

11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine hazinihusu
12. Tupe K vant kubwa tuhangaike nayo..hivi vibia tutapata hasara

Jr
 
"Nimeshakula home, nimekuja kunywa bia 2 tu kwa afya" Huwa inatoka mdomoni tu na si moyoni.
Kakiingia kameseji kwenye simu kanakoanza na BC3LQW6Y Imethibitishwa, unayakana maneno yako na kuagiza chair fire lost mchicha pilipili na K VANT kubwa. Mhudumu akiuliza vp si ulisema unakunywa 2 kwa afya! unaanza mbwembwe kuwa hela natafuta mimi so sipangiwi matumizi.
 
Enzi hizo nipo na kampani ya watu wanne namuita muhudumu:-

Msafwa :: LEO TAREHE NGAPI.?

Muhudumu :: TAREHE 7..

Msafwa :: MPE KILA MTU BIA 7..

Enzi hizi nikienda na kampani..

Msafwa :: Sijui tugongee veve.? au banana au Nyagi.!!!

KWANZA TUKIWA NJIANI TUNAELEKEA BAR, NAANZISHA UBISHANI WA KIPI KIKALI KATI YA NYAGI NA KVANT...

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Msafwa tukagongee YOKOZUNA....

Yaani we jamaa unaongea kwa uzoefu kabisa haaaaaa haaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Valve hazijafunguka : mtu anakunywa bia kiasi kidogo

Unapiga ruler maana yake unabagua kwenye kununua na watu uliokaanao meza moja.

Cbe pale kulikuwa na meza Nini ukikaa hiyo meza lazima uondoke umeolewa bia huwa zinaletwa tuu hujui Nani karusha. Meza ya kina job hii tajiri mtoto.

Ilikuwa ukitaka kuteleza we unajisogeza meza Nini tuu story nyingi

Ukawa pilsener ice. Mtanzania konyagi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Lete Tulivyokaa

2. Muongeze 5 huyo

3. Mbona bia haziendi?

4. Usiulize, wee Ongeza tu

5. Mbona jikoni hawatusikilizi??

6. Aah,tunahudumiwa na dume?

7. Nimesema Mbuzi mzima!!

8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?

9. Kuna watu wanabusu bia!

10. Hamishia opener hapa hapa?

*ZAMA HIZI SASA....*

1. Lete kirikuu moja. Hao waulize wenyewe sijaja nao mimi

2. Mmh, umeongeza nyingine nani kakwambia?

3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?

4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki

5. Nimeshakula home, nimekuja kunywa bia 2 tu kwa afya

6. Nitanunulia kaunta mwenyewe

7. Mna kongoro?

8. Supu tu bila finyango kwani shingaa?

9. Nani kakaambia uweke kwe bill yangu.? nalipa nilizokunywa mimi tu.

10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua

11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine hazinihusu
12. Tupe K vant kubwa tuhangaike nayo..hivi vibia tutapata hasara

View attachment 1318679

Jr
Watu wamehama sehemu zao walikokuwa maarufu enzi hizo.
 
Ukawa pilsener ice. Mtanzania konyagi,
Valve hazijafunguka : mtu anakunywa bia kiasi kidogo

Unapiga ruler maana yake unabagua kwenye kununua na watu uliokaanao meza moja.

Cbe pale kulikuwa na meza Nini ukikaa hiyo meza lazima uondoke umeolewa bia huwa zinaletwa tuu hujui Nani karusha. Meza ya kina job hii tajiri mtoto.

Ilikuwa ukitaka kuteleza we unajisogeza meza Nini tuu story nyingi

Ukawa pilsener ice. Mtanzania konyagi,

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom