buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Nimecheza game ya dream league sina upinzani naomba mwenye kujua game kali zaidi aniambie
aaah mkuu umefika elite division au ni academy division
Nimecheza game ya dream league sina upinzani naomba mwenye kujua game kali zaidi aniambie
Na miwani meusiJambaz lazima liwe na koti reefu na jua lote hili
Mi nliona jini anakodi bodaboda ili kumfukuzia mtu...
ahaha muvi gani iyoo mzee haha ilitisha io muviiHahahaha hata siikumbuki mkuu... Niliifumania tu Azam TV, nikabadili channel fasta...![]()
![]()
![]()
ahaha muvi gani iyoo mzee haha ilitisha io muvii
Uuuwiii jamani acheni izoo bana mbavu zauma ukuukaka acha hiyo, niliona moja wameigiza kama mateso ya Yesu, cha ajabu jamaa kabeba msalaba mara boda boda inapita, nilichoka aisee, manake miaka ya Yesu boda boda zilikuwepo

eti kuna muvi wanaigiza enzi za ukoloni ...lakin hao wakoloni wana iPhone six na magari aina ya vogue

*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*

Hahahaha hata siikumbuki mkuu... Niliifumania tu Azam TV, nikabadili channel fasta...

Mimi niliona moja ya Christmas, wanaigiza kuzaliwa kwa Yesu. Bikira Maria akamwambia Joseph "nina mimba", Joseph akashtuka "Yesu wangu, utaniambia ya nani".
Shikamoo bongo muvi

Ha ha ha ulikua unapoteza muda kwako tu.*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
hahahahaha....Movie gani mkuu?
Wanajua wako kwenye kampeni bado, hawajaalikwa kwenye udiwani?Akili ni nywele
Bongo muvi yote ni mimavi
*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*






HahahaYa Kanumba
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mtu anatoka na mfuko wa RAMBO mkoani anakuja kutafuta maisha Dar anarudi kusalimia kwao akiwa milionea..
Kwa usawa huu wa awamu ya tano
![]()
![]()
![]()
![]()

Nimecheka,akasema Yesu wangu,yaani bongo movie bado kazi ipoMimi niliona moja ya Christmas, wanaigiza kuzaliwa kwa Yesu. Bikira Maria akamwambia Joseph "nina mimba", Joseph akashtuka "Yesu wangu, utaniambia ya nani".
Shikamoo bongo muvi
Hii hii unayotembea nayo kila mahala na kulala nayo ikiwa TUMBONI mwako au mingine?Akili ni nywele
Bongo muvi yote ni mimavi