Shikamoo bakhresa... teh teh


Ulinielewa nilichokusudia au??
 
ukipiga ugali wake,maharage yake yaliyoungwa kwa nazi zake ukashushia na maji ya uhai na zile juice zenye sukari kama kashata....utaishi maisha marefu sana.

Hahahaa mkuu pamoja na hayo Bakhresa katurahisishia maisha lol
 
Kila kitu china bora tujivunie na azam
 
Ngoja nimtafute aanzishe line ya beer, mi ndo nionekane mmiliki tutaiita maza lager, yaani azam ukiandika kiarabu, sorry, kinyume
 
Jamaa karahisisha sana maisha na ndio aliyewafungua ujanja kwa kina mo naona nayeye anapita mule mule
 
. . . mimi napita tu. Nilijikwaa ndo maana nkasimama . . .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…