Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Tunasubiri maharage ya azam yaliyopikwa na kuungwa kabisa
huo sasa ni uvivu sasa
Tunasubiri maharage ya azam yaliyopikwa na kuungwa kabisa
Kwa nini asiweze?kwani ndege ya abiria ni shilingi ngapi na utajiri wake unafikiri ni shilingi ngapi?Kwa pesa aliyonayo anaweza kuwa na shirika la ndege kwa taarifa yako sema watu wana vipaumbele vyao wamejiwekea nini wafanye na nini wasifanye.Biashara ya ndege Africa ni ngumu sana na ipo na changamoto nyingi sana na ndo maana mashirika mengi yanayumba angalia Kenya airways na precision air zinavyopata hasara.
ukipiga ugali wake,maharage yake yaliyoungwa kwa nazi zake ukashushia na maji ya uhai na zile juice zenye sukari kama kashata....utaishi maisha marefu sana.
huo sasa ni uvivu sasa
Hehehee si wanijua mi wifiyo uvivu hapa ndio kwao...btw miss u
punguza bwanaa khaa
miss u too