Naona ujipendi
why, mie naoga mara 2 kwa siku, napiga mswaki sana na nanyoosha nguo zangu
daddy mie nataka kigamboni nataka nikapande na ile ferry
just a little of it, au kama hupendi twende kwetu tukaangalie katuni ya ben 10, usihofu yule braza angu mkorofi mkorofi Nicas Mtei leo hayupo
sawa baba, ntakuja wewe ukiwa kazini...
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.
Huna adabu wewe kwa wakubwa zako, ngoja nikikushika utajuta kuzaliwa
View attachment 79216
hii ni familia yote ipo chini ya daddy manoh
Daddy manoah
Anko Filipo
Anti marejesho
brother Mzee wa Rula
Sawa mwanangu twende kigamboni
samahani kwa kutoanza na shikamoo, shkamoo ba'sharifa, naomba umwambie da'@sharifaa kile kitabu cha meet me under the tree sijamaliza kukisoma pia kama anacho cha make it hurry naomba umwambie aniazime ntashukuru sana
View attachment 79218
thanx 100 times daddy fumba macho nikupe kitu dady fumba macho basi.
na mie naomba lift
Mmwaah!! asante anko mwambie na anti kuwa nawapenda sana
Wewe ushike adabu yako, jichunge nitakutoa pua kwa kujidai mnamendea mwanangu kipenzi
daaady !!!
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.