ok come wiz choclate
ok come wiz choclate
enhee now umeanza kuwa mtoto mzuri, nikuletee na pipi kijiti?
daddy nataka unipeleke super market unakinunulie tom tom then beach.
no thans for the pipi kijiti
Weeee chezea kila kitu changu, usichezee my daughter sharifaa nitakutawanya matumbo yako
wow!! full joy but jioni beach usishau daddy
samahani baba, hii ni michezo tu ya watoto wala usinune, tena huwa tunasoma kweli mimi na yeye, ukiniruhusu niwe karibu na mwanao na mie ntakuita baba pia, deal?
no thans for the pipi kijiti
why cant u press LiKe to me ?
Mchezo kwa mtoto wangu si utaki. Tena ukitaka kuja hapa nyumbani uje mchana tu sawa?