.....hivi hawa vijana wa Rchuga walivyokuja tanga mliwapikia mboga za majani ya mkuyati!??? mbona wote tangu wametoka huko ni balaa kwa mabinti, sio Arushaone, PakaJimmy wala Mungi, Filipo ndo hata sisemi, afadhali kidogo Mzee wa Rula
Huyu kajifunza majungu ili malengo yake ya u Mswati yatimie, hivi hawa vijana wa Rchuga walivyokuja tanga mliwapikia mboga za majani ya mkuyati!??? mbona wote tangu wametoka huko ni balaa kwa mabinti, sio Arushaone, PakaJimmy wala Mungi, Filipo ndo hata sisemi, afadhali kidogo Mzee wa Rula
realy my dia?
Wewe hujaona mabadiliko bado?
Je t'aime aussi
Je suis du même père
View attachment 79430 daddy naipenda gari hii