Abuubakar munis
Member
- Dec 14, 2011
- 51
- 5
Wakuu sites gani naweza pata na kusoma online vitabu vya erick shigongo???
Wakuu sites gani naweza pata na kusoma online vitabu vya erick shigongo???
Blog yake inaitwa global publisher
Mfano nenda link hii
Ijumaa11 - News - Global Publishers
Upande wa kulia utaona hadithi za shigongo click unayoitaka
mkuu nimeiona bana ila ss mi nlikua nataka page ambayo ntapata kitabu kizima sio hii ya kusubiria mpka wiki ijayo inakatisha utamu..!
we mkali akyamungu tenaKama utakua mjanja kidogo utaweza mfano hadithi imeisha fanya kitu cha namna hii.
Tuseme inatoka kila baada ya siku 7 halafu hadithi inaitwa jambazi kuu na ya kwanza imetoka tarehe moja fanya hivi
Search dizain hii
- global publisher 1 september 2012 jambai kuu
-global publisher 8 september 2012 jambaz kuu
-global publisher 15 september 2012 jambaz kuu
Hivo hivo kila kipande unacopy then unapaste kwenye word hadi utakua na hadithi yote an then utasaidia na wenzako
Si mchezo, kwani shigongo mwenyewe anaona taabu nini kuviweka hivyo vitabu katika ebooks format?
Kazi kweli kweli, mbona ebooks milioni zipo tu free online? hao wengine wanaishije tunaowachukulia kadri tutakavyo? au za kiswahili ni ghali sana?Ingekua wewe ungeeka? Ili watu wasije tena kwenye blog yako kusoma? Wapeane kwa flash tu?
Kazi kweli kweli, mbona ebooks milioni zipo tu free online? hao wengine wanaishije tunaowachukulia kadri tutakavyo? au za kiswahili ni ghali sana?
So we ukiona ebook online unadhani ni owner wenyewe wamevi upload viibiwe? Lazma kuwe na mtu ambaye anacolect kwa ajili ya piracy.
Sisi wa tz ni wavivu hata kwenye piracy pia wavivu hizi blogs zetu wote tumekazania vitu vile vile vya kuchakachua idm mara siasa mara mziki baasi.
Kama mtu anaamua kupiga kazi na kukusanya hadithi za shigongo zote na kuzieka pamoja afungue blog am sure 99% hakosi visitor elf 1 kwa siku.
bila ridhaa yake si itakuwa msala kaka