Shigongo amvaa Tundu Lissu

Yupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
Tatizo hapa we[emoji84] hujitambui ndo mana
 
Amtungie kitabu ili apate fedha ya kufidia zile alizodhulumiwa na chama lake la makinikia.
 
Kuna watu waliitwa ni washangiliaji, yani hawana uwezo wa kuelewa masuala nyeti na kuyachambua. Kiongozi wa kundi hilo ni Erick. Inatosha kusema hivyo na tumsamehe.
 
endeleza riwaya za ngono mkuu
 
Najaribu kufukiria kama endapo nchi hii asingekuwepo MTU anaeitwa LISSU sijui tungekuwa wapi sasaivi...
Nadhani hata hiyo migodi Leo hii ingekuwa mahandaki ya kujificha[emoji85]
 
Wewe shigongo unasumbuliwa na njaa.ccm si ulikuwa unadai pesa ķibao umeshalipwa?
 
Watanzania tuamke... Kuingiza siasa tunapozungumzia maslahi ya Taifa nadhani ni Upumbavu
Nampongeza Mh. rais kwa hatua anazochukua kwa wahujumu wa maliasili za Taifa.
Wanaopinga.... Wapinge coz WAPo #br ney
Umesahau huyu Pombe. Alikuwepo wakati tundulisu na wenzake wanapinga miswada inayotufilisi mbona hakuungana nao? Kama c unafikuna ni nn
Ucshabikie ujinga[emoji84] we
 
kwani kalipwa pesa ya kofia anazozidai chama pendwa?
 
Kwamba hata wewe hujui awatete juu ya nani!
Kweli kuwa mfuasi wa Cdm lazima uwe nusu kichwani!
Anaacha kuitetea Tanzania anawatetea Wazungu
Wewe unaona yupo sawa!

Mkapimwe siyo bure
Wewe ndio wa kupimwa [emoji84]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…