Shida ya wanaume humu ni hii

Mxiuu arusha na dar wapi na wapi.
 
Masahibu gani yamekukuta bibie mpaka utoe povu hivyo? Ushauri wangu naomba u relax na sahau yaliyopita.
 
Hivi humu kuna watu mnakutana ukweli na mahusiano kabisa. Kweli akili ni nywele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikweli mwaya kama ungekuwa karibu ningekupa big BIG UP MY DEAR .
Tunawekana sawa mambo madogo kama haya shida ya wengi humu wanaendeshwa na mihemko na wengine ni malimbukeni wa mapenzi ndio maana vitu vingi hawavijui kutokana na kukiss experience ya mahusiano
 
Yan kwamba unaona cha ajabu au!?
Jamaa sijui anashangaa nini kwasababu Jf ni kama mitandao mingine ina Wanaume na wanawake so kukutana watu kimauhusiano sio jambo lakushangaza ingawa binafsi sijawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote wa humu Jf
 
Usipanic mpenz ....ukitaka wa kukuoa humu ndani utaumia....humu wengi wanandoa zao na wengine ni watoto bado muda wa kuoa.Humu tafuta wa kukupunguzia hamu maisha yaendelee....USIJE ITAKA HARUSI KWA PUPA by Kassim
 
Nguvu ya mwanaume inategemea na mwanamke mwenyewe!
Mfano unanuka mdomo na k, nguvu zittoka wapi?
 
Usipanic mpenz ....ukitaka wa kukuoa humu ndani utaumia....humu wengi wanandoa zao na wengine ni watoto bado muda wa kuoa.Humu tafuta wa kukupunguzia hamu maisha yaendelee....USIJE ITAKA HARUSI KWA PUPA by Kassim
Ndoa ipi walionazo wanapumulia gesi tu nafuu hao watoto ambao hawakui.
Nafuu hata wangejiweza hawana nguvu za kiume eti nani anataka ndoa humu walahi sisi tunahitaji kitu kimoja michoro tu ngoja niseme ukweli leo mimi natabia zakuchora wanaume tokea uume wao hadi tabia ili ujue kitu mimi nikishakula chakula mahali sirudii tena ile sahani.

Umeelewa usijichanganye
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo eti mtoto analia anakwambia nipo hospital baadae ntakucheki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…