Shibuda si riziki CHADEMA

Status
Not open for further replies.

= ajili

Mchina hakulazimishi kununuwa chake. Unanunuwa wewe mwenyewe.

Wewe ni nani zaidi ya kuwa"substandard" aka punguani tu mwenginewe? Unanshangaza!
 
Huyu naye anatafuta nitoke vipi. Shibuda kwa Chadema ni kama nyuki wa mashineni au nyoka wa kisimani

sio nitoke vipi hebu reason kwanza allegations hizo kabla hujamuona anataka umaarufu. He is reasonable tujifunze ku weigh mambo.
 
Mimi huwa nina mzarau sana huyu Mzee shibuda, nimropokajisana maranyingi anapopewa nafasi ya kuchangia hoja flani bungeni huwa ni mtu wa kuropoka ropoka maneno yasio na tija huwa simuelewagi kabisa.

Hajielewi, kama chama kinakasoro yeye anasubiri nini kwenda kusiko na kasoro.
 
Mpuuzieni huyu kubwa J,anatafuta cheap popularity,cha msingi asipojiengua mwenyewe msubirini kwenye ubunge msipitishe jina lake,sidhani kama CCM watampokea,hakuna chama kinachoweza ku-take risk ya kuchukua mtu kama Shibida,kwa kauli zake ni kama anataka Zito amfikirie kumuingiza ACT.Zito hawezi kufanya kosa ilo.
 
Sijaelewa anataka Chadema kife au anataka nini?

Hata CCM makini wangependa upinzani uwe na nguvu ili wakikosolewa wanajua jinsi ya kujipanga. Sasa huyu haelewek ni chama gani! Undumilakuwili mbaya kabisa huu?

Labda wewe hujamwelewa ameona alichotendewa zitto sio jambo la kiungwana ndipo aka analyse hizo weaknesses
 
Aha haa! Shibuda na hadithi ya Mbichi Hizi!!
Kichaa akikukuta unaoga mtoni akachukua nguo zako akakimbia; na wewe unatoka mtoni mtupu kumkimbiza au unachutama na kupiga ndulu wasamaria wakurushie kanzu au shuka?! Wahenga walisema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Zitto ana akili na ni mweledi; kateleza ndio; kosa kubwa ndio; lakini sio vibaya kukabiliana na mtu mwenye akili mkabishana ukijua mtafikia mahali mkubaliane japo kutokubaliana; Lakini Shibuda John Magalle; hapana yule ni vumbi tupu! kubishana naye ni kukimbiza kichaa mtoni; ni dwanzi; domo kaya; debe shinda kutika haliachi; wazungu wanasema "Never argue with a fool 'cause people will not notice the difference" baina yako mweledi na mjinga kama JMS!
Mwacheni atambe CDM wanamuogopa; lakini namshangaa! kama CDM wanamuogopa why has he been the first to thrown in the towel kabla hajafukuzwa?! si akae akoma; awatishie; tuone ubavu wake?!
 
Shibuda ni mwepesi kama pamba. Mimi sioni sababu za kutenga muda kushughulika na watu kama hawa. CHADEMA kina mambo mengi ya kufanya.
 
Ndo mkome kuchukua makapi ya Ccm ona sasa

Well said! Kwa Shibuda amesha accomplish mission yake. Muhimu chama kiwe makini hata kama ni kweli kwamba kilianzia chumbani kwa Mzee Mtei kikiweza kujitambua na kubadilika sio ajabu kuamniwa na kupewa dhamana ya kuiongoza nchi. Mawazo mazuri yote huanzia kwa mtu mmoja na baadae kumilikiwa na taifa. Shibuda alitumwa, na kazi yake ni kama kasuku. Ameamua kuimba alichokariri sio vizuri kubishana nae. Na kwa jinsi alivyokariri ni single ya muda mfupi itachuja tu.
 
Nakumbuka hotuba ya Mh. Shibuda pale Jangwani wakati wa kufungua kampeni mwaka 2010,,nikiona na hizi kauli zake za sasa nakubaliana na Zito Zubeir Kabwe kwamba usiwaamini WANASIASA hata wa upinzani......All by all CDM ni kijiwe cha wachaga hilo halitaki tochi wala utafiti wa kina
 

Shibuda iwe isiwe lazima uondoke chadema msaliti mkubwa wewe na pia pandikizi kubwa la ccm kafie act huko kwa shoga yako ztto.hatutaki mamluki chadema kama weww na zitto
 
Sijaelewa anataka Chadema kife au anataka nini?

Hata CCM makini wangependa upinzani uwe na nguvu ili wakikosolewa wanajua jinsi ya kujipanga. Sasa huyu haelewek ni chama gani! Undumilakuwili mbaya kabisa huu?
Ukweli utabaki kua ukweli matatizo ya kiuongozi chadema ni makubwa kuliko tunavyofikiria haiwezekani chama kama hiki kua na mfumo wa kifalme eti wote mamluki isipokua wanaotka kaskazini tu?
 
Kama kuna ukweli kuhusu mauaji ya alibino nikwasababu ya wanasiasa wanaofanya ndumba ili wachaguliwe. basi nitakwambia Shibuda ni miongoni mwao maana sielewi mtu kama huyu sijui watu wanamchagua kwasababu gani zaidi yakuwa wamepgwa ndumba.
 
Jinsi alivyoandika tu inaonekana ni kilaza kiasi gani. Anataka apewe promotion. CDM wamefanya vizuri sana kumkaushia. Nafikiri hilo linamtesa sana. Maana kwa akili yake yeye ni Presidential material ........ ndiyo maana alitaka kugombea against Kikwete.

So far amekuwa overlooked kila upande CDM, CCM na hata mtaani. Hiyo imemtesa sana.Kila anachojaribu kufanya, hakuna mtu anayempa attention. Hata magazeti wanajua hilo, hawawezi kuuza with Shibuda's headline!
 
Kwa nini aombe afukuzwe badala ya kujiondoa mwenyewe kama anaona Chadema hakimfai??!!

Mpuuzi sana huyu!
 
Chadema hvi ni kwli kua ili uwe mwenyekiti ni lazima utoke kaskazini?na nikweli kua hakuna mwenye uwezo wa kua mwenyekiti zaidi ya mboe?na hakuna kikomo cha kua mwenekiti na ni kweli huwzi kua mwnyekiti mpaka mtei atake na kweli mliomtendea zitto ni sahihi?
 
hiki chama nilikuwa nakichukia kutokana na ubaguzi wake kumbe kuna mengine maovu makubwa hongera shibuda wewe ni msema ukweli siku zote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…