monomotapa
JF-Expert Member
- Oct 30, 2012
- 437
- 327
kwa mara nyingi tena mbunge wa maswa mashariki mhe. John m. Shibuda amesema ninawaomba chadema wanifukuze na mimi kwenye chama cha mzee edwin mtei nawaomba wafanye hivyo.
Mhe. John shibuda amesema sijawahi kuona katika maisha yangu ya siasa kuona katiba mbovu ya chadema katiba hiyo ni katiba ya familia ya mzee edwin mtei na baba mkwe wake freman mbowe.
Mhe. John shibuda amesema wakati naingia chadema sikuisoma vizr katiba ya chama hicho niliisoma tayari nimeshakuwa mbunge baada ya kuisoma katiba ya chadema niliichana na kuchoma moto-
mhe. Shibuda amesema nilishangaa sana kuona chama hicho kinamilikiwa na familia ya mzee edwin mtei na mbowe aliyemuoa mtoto wa mzee mtei mbowe yuko kwa kulinda masilahi ya familia hiyo kwa gharama yeyote.
Mhe. John shibuda amesema baada ya kuona katiba hiyo iko hivyo niliidharau sana katiba hiyo chadema ni chama cha familia ya mzee mtei pia chama cha kikabila asilimia 85 ya ruzuku inaenda kwenye familia ya mtei.
Mhe. John shibuda anesema chama hicho sio chama ni chama cha kuweka na kukopa saccos hata yalipo sasa makao makuu ya chadema kinondoni nyumba waliyopanga ni nyumba ya mzee mtei.
Mhe. John shibuda amesema malipo yote ya pango yanaingia kwenya akaunti ya mzee mtei kila mwisho wa mwezi baadhi ya wanachama hawajui wamevikwa blaketi ni aibu aibu sana.
Mhe. John shibuda amesema hata rafiki yangu mhe. Zitto kabwe alipotangaza kugombea urai mwaka jana alifuatwa na mumiliki wa chama hicho mzee mtei aliambiwa aache kugombea urais amwachie tena dk. Slaa.
Mhe. John shibuda amesema hata mhe. Zitto kabwe alipotaka kugombea umwenyekiti wa chadema aliambiwa msaliti wa chama ndio matatizo yaliapoanzia hadi amefukuzwa ndani ya chama kwa kuitwa msaliti.
Mhe. John shibuda amesema tangu chadema ianzishwe na mzee mtei aliyeshika nafasi ya umwenyekiti ni mmoja tu mzee bob makani hakuna mwingine tena aliyewahi kuwa mwenyekiti ni aibu aibu.
Mhe. John shibuda amesema tangu mzee mtei akianzishe chama waliowahi kushika nafasi ya mwenyeki ni hao hapo chini-
angalia hapa chini.
1992-1998 mwenyekiti - edwin mtei
1998-2003 mwenyekiti -bob makani-
2003-2008 mwenyekiti - freeman mbowe
2009-2014 mwenyekiti - freeman mbowe
2015 -2020 mwenyekiti -freeman mbowe
mhe. John shibuda amesema uwiano huo unafuatiwa na mhe. Ibrahim lipumba vinala wa ukawa hali hiyo ni hatari sana siku ikifika nitawaambia watanzania jinsi chadema ilivyo.
Mhe. John shibuda amesema safari hii tutawakimbiza mchaka mchaka mpaka watanzania wajue ni chama cha ovyo hakifai kuongoza dola hivi tangu lini chama cha kuweka na kukopa saccos kikaongoza nchi ?-
mhe. John shibuda amesema chama hicho kinaongoza kwa maadamano hakina sera yeyote.
Mhe. John shibuda amesema mumiliki mkuu wa chama hicho ni mzee mtei huyo hapo chini na baba mkwe wake wako pamoja mbowe ni mlopokaji hana hana uwezo wa kuwa kiongozi-
asanteni sana-
john magalle . Shibuda.
Mawazo ya kijinga sana hizi ni siasa za maji taka.
Hoja zako za kuitetea cdm ni hoja za damu yako ya hedhi.
fukuza huyo jamaa! kwanini umupuuze!!
Sijaelewa anataka Chadema kife au anataka nini?
Hata CCM makini wangependa upinzani uwe na nguvu ili wakikosolewa wanajua jinsi ya kujipanga. Sasa huyu haelewek ni chama gani! Undumilakuwili mbaya kabisa huu?
Kutukana ni dalili ya kuishiwa hoja jenga hoja acha vioja mimi sina muda wa kushindana na mwehu kama wewe.
Huyu naye anatafuta nitoke vipi. Shibuda kwa Chadema ni kama nyuki wa mashineni au nyoka wa kisimani
Sijaelewa anataka Chadema kife au anataka nini?
Hata CCM makini wangependa upinzani uwe na nguvu ili wakikosolewa wanajua jinsi ya kujipanga. Sasa huyu haelewek ni chama gani! Undumilakuwili mbaya kabisa huu?
Hili shairi limekosa vina na verse ni za kujirudiarudia.
Wachina hawakuletei chochote, unakweda kununuwa mwenyewe na unasafirisha kwa gharama zako na unakuja kuwauzia Watanznia wenzako ulichokinunuwa.
Vitu vya Kichina vipo dunia nzima na vina ubora wa hali ya juu. Kama wewe ulienda kufyatulisha vya "substandard" ni tatizo lako si la Wachina.
Tutegemee nini zaidi ikiwa wewe mwenyewe uko "substandard"?
Chadema ni Saccos ya Mtei inayosimamiwa na mkwe wake Mbowe pamoja na mjomba wake Lema
moderator naomba chanzo cha habari please, Kama ni gazeti au runinga na aliyasema wapi haya shibuda..watu wasiwe wanajitungia tu vijimaneno na kulisha watu humu.
jf tuna taratibu zetu za kuripoti,haturipoti Kama walevi waliolewa matap tap kachoma .
mods piga ban huyu Kama hii habaribni ya kujitungia kwa heshima ya jf please .
Mfukuzeni badala ya kumtukana. Yeye hajawatukana kawapa za uso.