Mkuu assadsyria nimekuwa ninafuatalia threads zako na kugundua wewe ni mtu wa ajabu kabisa. Hivi nikisema kuwa kwa wachina wanao tuletea substandard products hapa kama damping place wana tofauti gani na wewe nitakuwa nimekukashifu au la?
Sasa basi ni hivi:
Mhs Shibuda akifukuzwa officially na CDM atakuwa amepata heshima ya juu sana. Kwa maana hiyo ni kumuacha alivyo kama si kumdharau. Anaitafuta sana hiyo heshima ya kufukuzwa wakati anasahau kuwa hiyo heshima hataipata kamwe!
Huyu naye anatafuta nitoke vipi. Shibuda kwa Chadema ni kama nyuki wa mashineni au nyoka wa kisimani
Shibuda ni koboko ya Slaa na Mbowe.
Bob Makani mwenyewe ni shemeji yake Mtei ,ndo maana akapewa uenyekiti,hiki chama cha ukoo
Huu ni ujinga wa hali ya juu. Kama aliona cdm haimfai kwa kuwa na katiba mbovu, Je amengoja nini miaka yote hii badala y.a kujiondoa mwenyewe ati anangoja afukuzwe. Huku ni kufikiri kwa kutumia masaburiMadaha John-with-Victor Mbonicaand-48 others
3 hrs-·-
Mpendwa soma hii Habari.
Kwa mara nyingi tena mbunge wa maswa mashariki mhe. John M. Shibuda amesema ninawaomba chadema wanifukuze na mimi kwenye chama cha mzee Edwin mtei nawaomba wafanye hivyo.
Mhe. John shibuda amesema sijawahi kuona katika maisha yangu ya siasa kuona katiba mbovu ya chadema katiba hiyo ni katiba ya familia ya mzee Edwin Mtei na baba mkwe wake freman mbowe.
Mhe. John shibuda amesema wakati naingia chadema sikuisoma vizr katiba ya chama hicho niliisoma tayari nimeshakuwa mbunge baada ya kuisoma katiba ya chadema niliichana na kuchoma moto-
Mhe. Shibuda amesema nilishangaa sana kuona chama hicho kinamilikiwa na familia ya mzee edwin Mtei na mbowe aliyemuoa mtoto wa mzee Mtei mbowe yuko kwa kulinda masilahi ya familia hiyo kwa gharama yeyote.
Mhe. John shibuda amesema baada ya kuona katiba hiyo iko hivyo niliidharau sana katiba hiyo chadema ni chama cha familia ya mzee mtei pia chama cha kikabila asilimia 85 ya Ruzuku inaenda kwenye familia ya Mtei.
Mhe. John shibuda anesema chama hicho sio chama ni chama cha kuweka na kukopa SACCOS hata yalipo sasa makao makuu ya chadema kinondoni nyumba waliyopanga ni nyumba ya mzee Mtei.
Mhe. John shibuda amesema malipo yote ya pango yanaingia kwenya akaunti ya mzee Mtei kila mwisho wa mwezi baadhi ya wanachama hawajui wamevikwa blaketi ni aibu aibu sana.
Mhe. John shibuda amesema hata rafiki yangu Mhe. Zitto kabwe alipotangaza kugombea urai mwaka jana alifuatwa na mumiliki wa chama hicho mzee mtei aliambiwa aache kugombea urais amwachie tena Dk. Slaa.
Mhe. John shibuda amesema hata mhe. Zitto kabwe alipotaka kugombea umwenyekiti wa chadema aliambiwa msaliti wa chama ndio matatizo yaliapoanzia hadi amefukuzwa ndani ya chama kwa kuitwa msaliti.
Mhe. John shibuda amesema tangu chadema ianzishwe na mzee mtei aliyeshika nafasi ya umwenyekiti ni mmoja tu mzee Bob makani hakuna mwingine tena aliyewahi kuwa mwenyekiti ni aibu aibu.
Mhe. John shibuda amesema tangu mzee Mtei akianzishe chama waliowahi kushika nafasi ya mwenyeki ni hao hapo chini-
Angalia hapa chini.
1992-1998 mwenyekiti - edwin Mtei
1998-2003 mwenyekiti -Bob Makani-
2003-2008 mwenyekiti - Freeman mbowe
2009-2014 mwenyekiti - Freeman Mbowe
2015 -2020 mwenyekiti -freeman Mbowe
Mhe. John shibuda amesema uwiano huo unafuatiwa na mhe. Ibrahim Lipumba vinala wa UKAWA hali hiyo ni hatari sana siku ikifika nitawaambia watanzania jinsi chadema ilivyo.
Mhe. John shibuda amesema safari hii tutawakimbiza mchaka mchaka mpaka watanzania wajue ni chama cha ovyo hakifai kuongoza Dola hivi tangu lini chama cha kuweka na kukopa SACCOS kikaongoza nchi ?-
Mhe. John shibuda amesema chama hicho kinaongoza kwa maadamano hakina sera yeyote.
Mhe. John shibuda amesema mumiliki mkuu wa chama hicho ni mzee Mtei huyo hapo chini na baba mkwe wake wako pamoja mbowe ni mlopokaji hana hana uwezo wa kuwa kiongozi-
Asanteni sana-
John Magalle . Shibuda.
Aliombwa abakie, wachagga wanatazama zaidi ruzuku wanayoingiza kutokana na ubunge wake.
Madaha John-with-Victor Mbonicaand-48 others

Huyu mzee Shibuda huwa namuona km ana upungufu wa akili, hata hao watu wa Maswa waliomchagua kuwa mbunge sijui walimpendea nini, nafikiri labda hawakuwa na chaguo mbadala!
Ni mpumbavu pekee atakaeingia kwny chama fulani bila kusoma katiba ya chama husika....
Ni mwendawazimu pekee atakaesoma katiba ya chama fulani na kuiona haifai halafu akaendelea kubakia ndani ya chama hicho tena kwa miaka mingi!
CHADEMA walikosea sana kumkaribisha huyu mzee Shibuda ndani ya chama, tangu mapema alionekana CCM wamempandikiza aje kukivuruga chama???
Maswa hakuwa na mpinzani wa kueleweka,aliekuwepo wa ccm simon alikuwa na kashfa nyingi kuliko huyu ndio maana kwa tiketi ya chadema akaukwaa ubunge kwa urahisi ila kwa mwaka huu kazi anayo.
Kule kina nduhu taabu washamchoka mno.
Kwa mara nyingi tena mbunge wa maswa mashariki mhe. John M. Shibuda amesema ninawaomba chadema wanifukuze na mimi kwenye chama cha mzee Edwin mtei nawaomba wafanye hivyo.
Mhe. John shibuda amesema sijawahi kuona katika maisha yangu ya siasa kuona katiba mbovu ya chadema katiba hiyo ni katiba ya familia ya mzee Edwin Mtei na baba mkwe wake freman mbowe.
Mhe. John shibuda amesema wakati naingia chadema sikuisoma vizr katiba ya chama hicho niliisoma tayari nimeshakuwa mbunge baada ya kuisoma katiba ya chadema niliichana na kuchoma moto-
Mhe. Shibuda amesema nilishangaa sana kuona chama hicho kinamilikiwa na familia ya mzee edwin Mtei na mbowe aliyemuoa mtoto wa mzee Mtei mbowe yuko kwa kulinda masilahi ya familia hiyo kwa gharama yeyote.
Mhe. John shibuda amesema baada ya kuona katiba hiyo iko hivyo niliidharau sana katiba hiyo chadema ni chama cha familia ya mzee mtei pia chama cha kikabila asilimia 85 ya Ruzuku inaenda kwenye familia ya Mtei.
Mhe. John shibuda anesema chama hicho sio chama ni chama cha kuweka na kukopa SACCOS hata yalipo sasa makao makuu ya chadema kinondoni nyumba waliyopanga ni nyumba ya mzee Mtei.
Mhe. John shibuda amesema malipo yote ya pango yanaingia kwenya akaunti ya mzee Mtei kila mwisho wa mwezi baadhi ya wanachama hawajui wamevikwa blaketi ni aibu aibu sana.
Mhe. John shibuda amesema hata rafiki yangu Mhe. Zitto kabwe alipotangaza kugombea urai mwaka jana alifuatwa na mumiliki wa chama hicho mzee mtei aliambiwa aache kugombea urais amwachie tena Dk. Slaa.
Mhe. John shibuda amesema hata mhe. Zitto kabwe alipotaka kugombea umwenyekiti wa chadema aliambiwa msaliti wa chama ndio matatizo yaliapoanzia hadi amefukuzwa ndani ya chama kwa kuitwa msaliti.
Mhe. John shibuda amesema tangu chadema ianzishwe na mzee mtei aliyeshika nafasi ya umwenyekiti ni mmoja tu mzee Bob makani hakuna mwingine tena aliyewahi kuwa mwenyekiti ni aibu aibu.
Mhe. John shibuda amesema tangu mzee Mtei akianzishe chama waliowahi kushika nafasi ya mwenyeki ni hao hapo chini-
Angalia hapa chini.
1992-1998 mwenyekiti - edwin Mtei
1998-2003 mwenyekiti -Bob Makani-
2003-2008 mwenyekiti - Freeman mbowe
2009-2014 mwenyekiti - Freeman Mbowe
2015 -2020 mwenyekiti -freeman Mbowe
Mhe. John shibuda amesema uwiano huo unafuatiwa na mhe. Ibrahim Lipumba vinala wa UKAWA hali hiyo ni hatari sana siku ikifika nitawaambia watanzania jinsi chadema ilivyo.
Mhe. John shibuda amesema safari hii tutawakimbiza mchaka mchaka mpaka watanzania wajue ni chama cha ovyo hakifai kuongoza Dola hivi tangu lini chama cha kuweka na kukopa SACCOS kikaongoza nchi ?-
Mhe. John shibuda amesema chama hicho kinaongoza kwa maadamano hakina sera yeyote.
Mhe. John shibuda amesema mumiliki mkuu wa chama hicho ni mzee Mtei huyo hapo chini na baba mkwe wake wako pamoja mbowe ni mlopokaji hana hana uwezo wa kuwa kiongozi-
Asanteni sana-
John Magalle . Shibuda.
Mawazo ya kijinga sana hizi ni siasa za maji taka.Haya watu wanayajua sema vijana majuha ndio wanajifanya hawasikii. Ila kuna siku wataelewa tu. Hiki chama ni cha familia sio watanzania. Tena mtei sio raia wa tanzania na hana nia njema na nchi hii.