KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 197
John Magare shibuda wala sikutalaji ungekuwa kibaraka nlikua nakuamini tangu ukiwa mbunge wa magamba sasa umekuja nkaona bora uje uongeze nguvu kumbe ni msaliti?
Katibu Mkuu anaposema "Mimi nisingependa kuhusishwa na suala la Shibuda kwani sijawahi kuzungumza chochote kumhusu yeye na kwamba, nina mambo mengi ya kuangalia na sio Shibuda,".
Hapo ndipo anapofanya tuamini kuwa yeye ndiye anaewatumia BAVICHA kama asemavyo Shibuda. Tena inaonesha anamtumia Heche.
Huyu Slaa, kama Katibu Mkuu haoni kuwa anaongelewa Mbunge wa chama chake na vijana (wasio na ukomavu wa kisiasa kama Shibuda) wa BAVICHA halafu anaongelea kama Shibuda si lolote si chochote kwenye chama?
habari ingefafanua jinsi ya shibuda alivyoingia katika nec ya ccm kwani ninavyofahamu hata waandishi wa habari hawaruhusiwi ni kikao cha ndani
Of course Shibuda si lolote wala chochote.