Shibuda: Mimi Ni Nyambizi CHADEMA

Wanaogopa kumfukuza shibuda watashindwa kwenda kanda ya ziwa make yeye ndiye kaipeleka cdmmkanda ya ziwa.
Akili kama hizi zanaleta shida. Mbona Chadema wana majimbo mengi tu kanda ya ziwa mfano, Mwanza, Meatu,Ushirombo, Musoma, kote huko Shibuda kawapeleka? au hujui kanda ya ziwa ni wapi?
 
Mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.

ameanza harambee na pesa alizongwa na maccm nini ? kabaki kidampa
 
Mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.
hajakutumia nauli ukamwone kwa masangoma wa Nigeria gazeti best wa Zitto Jambo leo wameufahamisha umma kalazwa kwa sangoma
 
Cdm n chama cha watanzania wote ila kina miiko yake ukikiuka lazima uwekwe pembeni.
 
Duh...Mi ccm ina vituko...eti shibuda kaipeleka CDM kanda ya ziwa.....hahahahahahahaha...Ukiwa CCM lazima uwe na akili ya maiti

Mbona Mi CDM haipendi ukweli, mmesahau leo ushindi ulioletwa na shibuda kwenye uchaguzi, nani alikuwa anawajua cdm Shinyanga, hebu tafakarini vizuri na muwe munasemaga ukweli. CDM haina nguvu ya kumfukuza Shibuda hata siku moja.

Pia ningeomba wana CDM wanisaidie , Mbona ni muda mrefu hatujawasikia ndugu zetu akina Ben saanane, Bw Nyenyerere hapa jukwani. Au wameambia wawe kweny low profile, na hiyo sio mbaya, but i miss Ben very much, I always had high hopes for the young man, I sincerely hope he can shred the luggage he caries and becomes his own Man, he has potential.
 
mbona humuongelei kasulumbai kuwa ndiye alieipaisha CDM shinyanga...kuna Opulukwa..huwaoni? pathetic...Ukiwa CCM ...UWE NA AKILI YA MAITI
 
Hawamuwezi Shibuda maana yeye ndiye kanda ya ziwa na anapendwa na watu wake na sio chama.
Shibuda ni kama Drogba aka nyambizi anatemeba chini ya maji.

Mkuu watu wa kanda ya ziwa wanampendea nini Shibuda?
 
Chadema kanda ya ziwa haijaletwa na Shibuda, wakat Chacha Wangwe akiwa mbunge wa Tarime kwa tiketi ya CDM Shibuda akiwa sisiemu
 
CDM chama kinachotumia akili tumeshaona Shibuda hana madhara kwakuwa dumo tupu, lakini zana za kilimo ni msaliti wa vitendo
 
Mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.

Ameanza kugombana na CUF ?
 
CDM imeanza kanda ya ziwa she buda akiwa chama cha mizigo! Oparesheni sangara 2006 uwanja wa s/m milongo na ndio ilichangia kuwabadirisha ufahamu makamanda wengi sana na hata mm wokovu niliupata pale! Maccm shirikisheni ubongo wenu kabla ya kuropoka!
 
Nyambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii shibuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…