Shibuda: Mimi Ni Nyambizi CHADEMA

Shibuda: Mimi Ni Nyambizi CHADEMA

Shibuda cdm si wajinga umeona ya zitto yamewezekana sasa unataka tupigishane kelele na wewe hupewi nafasi ng'ooo wewe ni kidagaaa!!!
 
Akizungumzia fukuzafukuza ndani ya cdm Mh. Shibuda yeye amedai hawazi kuondoka cdm wala kufukuzwa hivo yeye ni kama NYAMBIZI ndani ya Chadema.
Inafahamika kuwa mienendo ya mbunge huyu wa Maswa kufanya mambo yasiyoeleweka ndani na nje ya chama ila bado hajapewa adhabu yoyote hivo kujiona sasa yeye ni Nyambizi.
Mimi najiuliza huyu bwana ni nini kimemsalimisha Shibuda kutimuliwa? Huyu bwana anataka aibue kamgogoro ili atimkie ACT.

::MWENDELEZO::

Mbunge wa CDM, Mh John Shibuda, amesema yeye ni sawa na nyambizi na kamwe hakuna wa kumtoa CDM, amedai CDM ni mali ya watanzania walio wanachama wa CDM na kamwe wanachama wa chama hicho hawatakubali chama hicho kuendeshwa kibabe na kihafidhina na viongozi wachache wanataka kuhodhi madaraka kwa nguvu.

Source: Raia Tanzania

Pole Zitto ugua pole huko ulikolazwa Nigeria.

Shibuda ni sawa na mchoro wa Simba, hauna madhara
 
Mbona mnakuwa wagumu kuielewa chadomo....pale hata ukijisaidia mbele ya mwenyekiti au katibu hawana shida kabisa na wewe...ukitaka shida na "wazee wa chama chao" we hoji katiba, madaraka na matumizi ya pesa....na sio kila anayehoji atawaogopesha..la hasha...iwapo tu unayehoji uwe na access ya kung'amua yaliyo chini ya kapeti...either kitaaluma au kiwadhfa ndani ya saccos...

Mkitaka muone mtiti mwingine ndani ya saccos hebu Mnyika aaguliwe akili zake zirudi normal...aanze kuhoji hayo mambo matatu muone kama atavumiliwa....
 
Back
Top Bottom