kensh
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 527
- 113
mkuu hunatarifa za kutosha ndiyo maana nawambia zitto anawazidi sana akili zitto wala hayupo nigeria mimi juzi nimemuona kwa macho yangu mkoani simiyu jioni ya moja msikitini hapa bariadi akitoka kuswali halafu wewe unaongea habari za nigeria.
kwani kufika nigeria ni mwendo wa siku ngapi? Anataka kuungama dhambi ya usaliti mbele ya tb joshua