Mbona Mi CDM haipendi ukweli, mmesahau leo ushindi ulioletwa na shibuda kwenye uchaguzi, nani alikuwa anawajua cdm Shinyanga, hebu tafakarini vizuri na muwe munasemaga ukweli. CDM haina nguvu ya kumfukuza Shibuda hata siku moja.
Pia ningeomba wana CDM wanisaidie , Mbona ni muda mrefu hatujawasikia ndugu zetu akina Ben saanane, Bw Nyenyerere hapa jukwani. Au wameambia wawe kweny low profile, na hiyo sio mbaya, but i miss Ben very much, I always had high hopes for the young man, I sincerely hope he can shred the luggage he caries and becomes his own Man, he has potential.