Shibuda kurudisha kadi ya chadema kesho

Kwa hiyo kamwaga manyanga?Au ndio ZZM wanampatia ahsante kabla haija disappear na kufa na madeni ya hawa vibaraka.
 
Jaman naomba iwe hivyo maana atakuwa kajimaliza mwenyewe, ee Mungu kama anamawazo hayo msaidie asibadili msimamo.
 
Sitashangaa kama huyu limbukeni akirudisha kadi ya CDM kwenye mkutano wa Chama Cha Mafsadi-CCM. Hapo atakuwa amewasaidia sana CHADEMA maana ataudhihirishia ulimwengu wa Wadanganyika kuwa AMESHINDWA KUVAA GWANDA LA CHADEMA KWA HIYO ANARUDIA GAMBA LAKE ALILOLIACHA CCM!!
 
Bora arudishe kazi aliyotumwa cdm imemshinda arudi apangiwe majukumu mengine,sana sana aende adc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…