Shibuda kurudisha kadi ya chadema kesho

eeh Mungu nibariki nione huyu traitor anatoka! Sijui Nape atamwitaje, oil chafu? Kinyago?
 
CCM bana mna hofu ya kukosa wasikilizaji au??

BTW, natamani sana arudi magamba huyo ****!
 
Mie nafikiri ataisaidia CDM ambayo inashindwa kumwonesha mlango jinsi ya kutoka.
 
Akifanya hivyo,j.mosi itakuwa nzuri maana idadi ya wanafiki kwenye safari itakuwa imepungua. Kukaa na mtu kama shibuda ni bora kupoteza jimbo.
 
I am sure hawezi kutema kutema ubunge, labda JK ampe wa kuteuliwa

Kafulila na yule mzanzibara hawana vyama na ni wabunge, shibuda will be another one

its better that way
 
kama ni shibuda mchukueni tu hana dili cdm.
 
Huyu ni mzigo ndani ya chama!

Ila nina hofu harudishi kadi.
 
Yaani magamba wameishiwa mpaka mwisho. Wameona mkutano wao utakosa watu, wameamua kuja na hii ya Shibuda atarudisha kadi kesho! Kweli mfa maji haishi kutapatapa!
 
Dr. Kupeng'e naona JF wameshasahau kuwa hii ni ID ya Malaria sugu.
MS unazungumziaje hujuma za wazi za uchakajchuaji wa matokeo ya watoto wa kiislamu uliofanywa necta? au ni matunda ya MOU?
na vipi kuhusu unyanyasaji wa waislamu wa zanzibar unaofanywa na mfumo kristo?
ina maana waislamu wameshaukubali mfumo kristo?
 
na aondoke!!anafanya hatupumui kama wazenji!!!!
 
Sasa akirudisha Shibuda halafu wakaingia wapya maelfu na wengine kutoka ngome za magamba kama mikoa ya kusini kuna hasara gani? Nadhani ni faida zaidi kuondokana na mropokaji huyu ambaye anaisumbua CDM na makamanda wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…