Shibuda kuondolewa CHADEMA leo

Shibuda kuondolewa CHADEMA leo

Status
Not open for further replies.
Pasco,

vyama pinzani ikiwemo CHADEMA waliamua kususia BMK kwa sababu zilizo wazi kabisa na zinaungwa mkono na Watz walio wengi.
Mkuu Makoye, asante kwa yote na endelea kujifariji kuhusu hao watanzania walio wengi!, kama ulisshangazwa na matokeo ndani ya BMK, utashangaa zaidi na matokeo ya kura ya maoni, halafu tutakutana humu humu kukumbushana kuhusu hao Watanzania wengi, ni wengi wepi!.
Pasco
 
Kwa kawaida yangu huwa sipendi unafiki na longolongo za kisiasa kama zinavyofanywa na chama chako cha CCM. Umafia na ubabe wa kupora haki za walio wengi na kuzigeuza kuwa kinyume ili zionekana ndiya mawazo ya CCM!!!

BMK tunajua, hata CCM wanajua kabisa kuwa Katiba Inayopendekezwa si MAONI YA WATANZANIA YALIYOKUWEMO KWENYE RASIMU #2 Iliyotokana na Tume ya Jaji Warioba. Hili ni jambo liko wazi na halina ubishi.

Tunajua namna SS na Andrew Chenge walivyocheza na namba za Wajumbe hasa kutoka Zanziba ili kutengeneza theluthi 2(2/3) ya BANDIA. Tumeshuhudia Mjumbe mmoja mtu mzima akilia mbele ya media kwa jina lake kuingizwa kwa kughushi ili kupata 2/3. Tumeshuhudia SS na Chenge wakihaha kulaghai watu kuwa Wajumbe waliokuwa nje ya Nchi walokuwa wameenda kuhiji na hospitali kuwa walipiga kura kwa FAX na MITANDAO kitu mabacho si kweli na ni kinyume na sheria za BMK!!!!

BMK limekosa maridhiano na hivo limekosa uhalali na utashi wa kisiasa na hivo kupoteza haki ya kuwapatia Watz waliowengi Katiba BORA nayopendekezwa. Twendeni tunavoenda lakini nina hakika kabisa kuna madudu yataenda kuibuka huko mbele hata kabla ya KURA YA MAONI na ndo utakuwa mwisho wa Katiba ya CCM inayopendekezwa.

Tusubiri tu, kwani siku hazigandi. Time gonna tell.
 
So long hashirikishwi kwenye mikutano na maamuzi yoyote ya kichama hiyo inatosha maana hana madhara makubwa kwa chama. Na hiyo kutengwa tu kwenye dhughuli za chama na maamuzi ya kichama ni adhabu kubwa. Ndo maana anapayuka tu lakini hana chochote katika matamko yake kinachoihatarisha chama. Mwisho wa siku atajitoke tu mwenyewe kama alivyoshasema. Kumfukuza mida hii ni kumpa umaarufu ambao hastahili
 
Pasco,

Kwa kawaida yangu huwa sipendi unafiki na longolongo za kisiasa kama zinavyofanywa na chama chako cha CCM. Umafia na ubabe wa kupora haki za walio wengi na kuzigeuza kuwa kinyume ili zionekana ndiya mawazo ya CCM!!!

BMK tunajua, hata CCM wanajua kabisa kuwa Katiba Inayopendekezwa si MAONI YA WATANZANIA YALIYOKUWEMO KWENYE RASIMU #2 Iliyotokana na Tume ya Jaji Warioba. Hili ni jambo liko wazi na halina ubishi.

Tunajua namna SS na Andrew Chenge walivyocheza na namba za Wajumbe hasa kutoka Zanziba ili kutengeneza theluthi 2(2/3) ya BANDIA. Tumeshuhudia Mjumbe mmoja mtu mzima akilia mbele ya media kwa jina lake kuingizwa kwa kughushi ili kupata 2/3. Tumeshuhudia SS na Chenge wakihaha kulaghai watu kuwa Wajumbe waliokuwa nje ya Nchi walokuwa wameenda kuhiji na hospitali kuwa walipiga kura kwa FAX na MITANDAO kitu mabacho si kweli na ni kinyume na sheria za BMK!!!!

BMK limekosa maridhiano na hivo limekosa uhalali na utashi wa kisiasa na hivo kupoteza haki ya kuwapatia Watz waliowengi Katiba BORA nayopendekezwa. Twendeni tunavoenda lakini nina hakika kabisa kuna madudu yataenda kuibuka huko mbele hata kabla ya KURA YA MAONI na ndo utakuwa mwisho wa Katiba ya CCM inayopendekezwa.

Tusubiri tu, kwani siku hazigandi. Time gonna tell.
Chama changu CCM?!...OMG!.
Anyway, the end justify the means!, he who laugh last laugh most!.
Pasco
 
Mim ccm lakin huyu shibuda hana aakili hata tone chizi kama mchuzi wa nzi
 
Katika dhana inayoendela ya kuwaondoa wasaliti ndani ya Chadema; kamati kuu ya chama hicho kitakaa leo jumanne kujadili mambo mengi likiwamo la chaguzi za serikali za mitaa na nyendo za badhi ya watu ndani ya chama hicho!!!!!
Akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya juma mosi tarehe 11 katika kata ya moshono korna ya kiserian;

Mbunge wa Arusha mjini Mh Godbless Lema alisema hawataweza kuvumilia kuwaona wasaliti wakiendelea kudumu ndani ya chama hicho!!!Alisema hawatasita kuchukua hatua kwa yeyote anakiuka taratibu za chama akiwatolea mifano ya mh Zitto;Mwigamba;Mkumbo & etl!!!!Aliongeza kuwa wanda kukaa n kutoa maamuzi juu ya Shibuda!!!!! "Jumanne tarehe 14 tuakaa tutaamua hatima ya Shibuda;lazima aondoke"!Alisema

Maoni yangu: Chadema isimwonee haya vibara na vipandikizi vilivyoko ndani ya chima hicho.

wala hawezi kufukuzwa yule. Kumfukuza mwehu ni kumpa jeuri. Dr alishasema, wengine sio lazma uwafukuze, ni kuwapuuza tu. The tym will tell.
 
Kosa la Shibuda ndani ya cdm ni nini.Kusema ni kirusi au msaliti bila kusema usaliti au ukirusi wake ni kutunyima haki ya kumjadili.
 
Mkuu Makoye, asante kwa yote na endelea kujifariji kuhusu hao watanzania walio wengi!, kama ulisshangazwa na matokeo ndani ya BMK, utashangaa zaidi na matokeo ya kura ya maoni, halafu tutakutana humu humu kukumbushana kuhusu hao Watanzania wengi, ni wengi wepi!.
Pasco

Pasco uko sahihi kabisa kweli tutashangaa sana matokeo ya kura ya maoni kama hawa 600 mpaka wafu walipiga kura , hiyo ya maoni mizimu itahesabiwa ukizingatiwa hakuna wakala wala walinzi. JK in full movie
 
Endeleeni kupotoshana lakini jk ni kiongozi wa karne hana mfano wake hata huo upinzani jk ndiyo kawapa uhuru wa kufanya siasa za namna hii mpaka wenye matusi nao mmepewa fulsa ya kutukana lakini watanzania siku zote huwa hawafuati upepo wanajua wanafanya nini kura ya kaoni ni ndiyo zote wala halina shida.
 
Kwasababu ni jambazi mimi nawaogopa majambazi siku zote kwasababu huuwa watu bila hata kosa.

kwani ile ndoto yako ya kuutaka urais imekufa? mbona jimbo unaloliwakilisha ni hoi bin taaban hasa katika sekta ya elimu, mkoa wenu ni miongoni mwa mikoa yenye poor performance kwa miaka minne mfululizo.
 
Kamati kuu ya CHADEMA ina mambo ya Muhimu ya kujadili siyo hayo unayopiga nayo ramli - mtu akitaka kuondoka CDM atatumia mlango alioingilia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom