Shibuda kuondolewa CHADEMA leo

Status
Not open for further replies.

jifunze kuandika
 

Wewe ni mpuuzi na kichaa usiye na msimamo. Huna tofauti na Shibuda unayemuita kichaa.
 
Chadema wala wasipoteze muda wa kumjadili Shibuda; do not waste your time, just ignore this dude and he will self destruct!! Mpotezeeni tu huyo jamaa mwenyewe atajimaliza, lakini kumjadili ni kumpa umarufu asio stahili!!
 
Chadema hawana ubavu wa kumuondoa Shibuda

Maneno haya ya kijinga mlikuwa mnamwimbia Zitto na kwa kuwa naye alijaa kiburi alikuwa pia anaamini hivyo, kilichomtokea haamini mwenyewe mpaka kuanza kula colabo na Management ya Jf na washirika wengine, ngoja mwone kama kuna ubavu CDM au hakuna
 
Last edited by a moderator:
Chadema mtamfukuza Mh. Shibuda kwa kosa gani?
1:Hajahudhuria vikao halali vya chama kama mjumbe?
2:Katoa siri za chama?
3:Hajalipa ada ya uanachama? Hajalipia kadi yake?
4: Nin hasa?
 
Mie nijuavyo adui yako akitaka kufa wala huna shida tena unashangilia lakini kwa maadui wa Chadema wao hawataki wale Virus ndani ya Chadema wafukuzwe sasa hapa sipati picha kabisa.Sasa kama mtakavyo Chadema ife iweje wakifukuza watu wenye matatizo ya akili kama SHIBUDA mnalalamika si mngefurahi ili akifukuzwa aondoke na wagonjwa wenzie kwa nini CCM hamtaki virus wafukuzwe wakati wakifukuzwa si ndio Chadema itakufa kama mtakavyo?Mie naona hamna haja ya MACCM kutokwa na mapovu kila kukicha utasikia oooh Chadema wanafukuza wanachama na viongozi wao sasa kipi KIPELE kiwakunacho Chadema akifukuzwa hawa WAGONJWA WA AKILI acheni Chadema wafanye maamuzi sahihi bakini huku huku kwenu mnakoleana MWIZI kaiba Dar es Salaam CCM inamhamishia Mtwara ati kapewa azabu kali hehehehehe!!!Police Kaua Raia anapandishwa cheo akikutwa na anakisiana na mpenzi wake au mke wa mtu anafukuzwa kazi lol Serikali ya Ccm mko juuu.Mwizi wa EPA anaambiwa arudishe pesa yaishe mwizi wa kuku miaka saba jela CCM na Sirikali yake oyeeeeee
 
Chadema ni ngumi jiwe kwa wasaliti wa chama hicho.
 
Wangeachana nae tu..sioni effect ya shibuda, chadema inataka kumjengea jina mtu ambaye mejimaliza mwenyewe
 
Mkigusa mziki wa shibuda mtajuta nawambia!

Leo umehamia kwa Shibuda. Shubudu na Zitto nani Political Super power. Hii ndio itakua post yangu ya mwisho kujibu vijipost vyako, kwa sababu nimesha ni mtu duni sana kimawazo. Kama wewe kweli ni mhaya sijawahi ona mhaya mjinga namna yako.
 
Huyu ni wa kuendelea kupuuzwa tu , ameshajifia kisiasa na anajua hana chake chadema.
Na zaidi sioni madhara yake hata akiendelea kuachwa chadema.
 
Chadema wanamuogopa sana Shibuda. Mbowe na Slaa wakimuona Shibuda wanatamani ardhi ipasuke waingie, wanamuogopa sana Shibuda
Nilikua nafatilia siku nyingi juu ya uwezo wako wa akili leo nimegundua basi. Endelea ndg yangu bora mkono uende kinywani. Maana hata Nape akisoma posti yako ataona unamwaibisha. Nimegundua wewe wala sio mjinga una akili sana, ila akili zako ni za kijinga.ktk wajinga woote wewe wa mwisho. go ahead.
 
Kwa akili yangu sidhani kama ajenda ya wasaliti ni ajenda muhimu sana ya kuendelea kuijadili kwenye mikutano ya chadema.
Waachane nayo kwani kuendelea kuyazungumzia hayo na wao ni km kuendelea kuwapa promo hao wasaliti.
 
NOTE: Sikuhizi naona lumumba wamekua wasemaji wa Chadema subirini mda na siku saa pia vikifika mtajulishwa msigeuke kuwa Watabiri..
 

Unaweza kukuta ndiyo nape mwenyewe huyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…