Au pia anaweza kua campaign manager wa kupigania posho ziongezwe na zibadilishwe jinaLabda awe kampeni meneja wa kampeni zake mwenyewe
CDM achaneni na kufukuzana badala yake simameni pamoja mjiandae na uchaguzi mdogo wa Igunga. Campaign manager wa mgombea wa CDM awe Mh. Shibuda
Katika kile kilichotegemewa na wataalam wa mambo kesho yule mbunge kipenzi cha wengi John Shibuda atatoa upande wake wa stori kwa yale yanayoendelea katika chama chake. Ametoa msisitizo kwa vijana wamsikilize kwa kuwa anaujumbe maalum kwao na pia uchambuzi wa aina ya vyama vya siasa vilivyopo nchini, kuanzia vile vyenye mlengo wa SACOS, kikanda, familia na kimaslahi binafsi.
source: mtanzania
Watch out:
Viongozi wa CDM waliokutana na Rostam kufanya naye mazungumzo na kuweka makubaliano kaeni chonjo kwani jamaa ana taarifa na ushahidi wa kutosha.
Hivi mahakama inaangalia ni kosa gani au inathibitisha kosa kwa sababu linaweza kuwa kosa kwa CCM lisiwe kosa kwa CDM inategemea katiba zao.Mkuu sio rahisi unavyodhania, na hata kama wakimfukuza kwa kosa gani hasa? hapo ndipo mahakama itakapo amua kama kafanya kosa linastahiki kutimuliwa na kuwaondolea wana maswa mwakilishi wao
Tabora na Shinyanga wote si wasukuma? Kuna shida gani msukumu mmoja kuwa campaign manager wa msukuma mwenziwe?
Tabora na Shinyanga wote si wasukuma? Kuna shida gani msukumu mmoja kuwa campaign manager wa msukuma mwenziwe?
Katika kile kilichotegemewa na wataalam wa mambo kesho yule mbunge kipenzi cha wengi John Shibuda atatoa upande wake wa stori kwa yale yanayoendelea katika chama chake. Ametoa msisitizo kwa vijana wamsikilize kwa kuwa anaujumbe maalum kwao na pia uchambuzi wa aina ya vyama vya siasa vilivyopo nchini, kuanzia vile vyenye mlengo wa SACOS, kikanda, familia na kimaslahi binafsi.
source: mtanzania
Watch out:
Viongozi wa CDM waliokutana na Rostam kufanya naye mazungumzo na kuweka makubaliano kaeni chonjo kwani jamaa ana taarifa na ushahidi wa kutosha.
Acha ujinga, kipenzi cha wengi...... Unamaanisha nini unaposema wengi? Mbona mnapenda kushabikia upumbavu? Eleweni ujinga wenu ndio mtaji wa wengine.
Kipenzi cha wengi waliomchagua, hivi huwezi kuchangia hadi utoe maneno mabaya?
Kuna neno baya hapo, ama ni mmoja wapo wa wale ninaowataja, Ujinga ni kwa wajinga na upumbavu ni kwa wapumbavu, hatuwezi kubadilisha lugha.
Na ushabiki wa kijinga ndio unaolitafuna taifa hadi leo....Hebu anaglia yanayotokea bungeni sasa.... ni ujinga mtupu, halafu nakatwa kodi kugharamia ujinga huo.