hawa jamaaa wali alibu pale mwanzoni kuto sikiliza ushauri lakini hii itakuwa challenge kwa 2015nakumbuka wakati wa uchaguzi mwaka jana chadema ilionywa na baadhi ya watu humu kuhusu kuchukua mabaki ya vyama vingine. Kama kawaida wale mashabiki ambao hawaangalii mbele wa kureason wakatetea. Kuna baadhi ya members walionya specifically kuhusu shibuda lakini wale fuata upepo wakamuita shibuda "kamanda", "mpiganaji", "mwanamapinduzi" nk. Leo hii watu hao hao wamemgeuka kitu kinacho thibitisha kwamba humu ndani kuna wengi tu ni bendera fuata upepo na hawana uwezo wa kupingana na wengi ao uwezo wa kufikiria wenyewe.
Anyway ishu ya shibuda chadema ilijikoroga yenyewe. Sasa tuone watakavyo deal na hii ishu. Ila ukweli ni kwamba kuna watu walisema shibuda ni shushushu na kama anatishia kwamba wakimfukuza chadema watakiona inawezekana kasha tengeneza profile kubwa kuhusu chadema tayari kulitumia dhidi yao.
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.
Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com
Kiburi alicho nacho Shibuda si cha kawaida ni dalili kuna walio nyuma ya pazia wanaompa ubavu.
Yanayojilia Arusha Shibuda amejidhihirisha kwa ndiye chachu.
Kwa mwendo huu huyu samaki aliyeoza atazidi kuozesha samaki wote ndani ya tenga.
Hakuna khofu ya kupoteza jimbo zaidi ya kulinda amani, umoja na utulivu ndani ya Chama.
Mchelea mwana mwisho hulia
Tundu Lissu uko wapi?Kiburi alicho nacho Shibuda si cha kawaida ni dalili kuna walio nyuma ya pazia wanaompa ubavu.