FF you got it all wrongNa baada ya muda si mrefu, magwanda wataona kuwa Safari hawafai na pia wataona kuwa Lissu hawafai, wee ngoja tu. hapo ndipo watu watajua kuwa hiki ni chama cha kifamilia kwa maslahi ya wachache wanaokubaliana na mwenendo wa familia fulani fulani tu.
Shibuda is more concerned about his stomach and nothing else wengi waliliona tokea mwanzo but people learn from mistakes i guess this is the one for Chadema to learn.CHADEMA hapa ilichemsha.
Na kama haikuweza kuonyesha judgement katika kum-screen huyu mercenary, essentially hii inatoa statement kwa CHADEMA kukosa judgement inayotakiwa kwa chama mbadala.
Judging from this fracas, is CHADEMA ready for prime time?
Shibuda is more concerned about his stomach and nothing else wengi waliliona tokea mwanzo but people learn from mistakes i guess this is the one for Chadema to learn.
Na baada ya muda si mrefu, magwanda wataona kuwa Safari hawafai na pia wataona kuwa Lissu hawafai, wee ngoja tu. hapo ndipo watu watajua kuwa hiki ni chama cha kifamilia kwa maslahi ya wachache wanaokubaliana na mwenendo wa familia fulani fulani tu.
Wewe ajuza CDM sio CCM iliyooza,huyo mamluki hana lolote na lazima atoke haijarishi ukanda wala utape.Chadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
Shibuda hana uongozi wowote ndani ya Chadema.CDM wamshachemsha na wanachotakwia kufanya sio kumfukuza. bali ni kuomndoa kwenye ngazi za kiuongozi na kiutendaji ndani ya chama. Abaki kuwa mwanachama wa kawaida na mbunge. Wamuache ajifukuze mwenyewe
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.
Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com
CHADEMA wakimfukuza SHIBUDA watakuwa wamekosea mno Mgongano wa mawazo ndiyo uhai wa chama hasa cha siasa na hizo ndiyo siasa zenyewe Hawawaoni waanzilishi wa CCJ bado wanadumu kwenye.................
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua.
Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni.
Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda.
Adaiwa kukutana na madiwani,Arusha wapanga siri.
Source gazeti la taifa letu:ijumaa julai 22- julai 28
www.ippmedia.com