Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Nipo na wewe Mkuu 100%! Yaani asipofukuzwa atajiona wa maana sana. Huyu alishaonyesha toka mwanzo yupo the magambaz
..Shibuda waliwahi kukunjana mashati na Kikwete wakati akiwa waziri wa mambo ya nje.
Mheshimiwa John Shibuda ananikumbusha sana Chacha Wangwe, sijui kwanini?
Mkuu ungemuuliza kwanza kabla ya kufika huko, tuwe wastaarabu maana tunashindana kwa hoja na sio matusi.simple. wewe ni mwanamke...inawezekana unakumbuka jinsi "shaft" zao zinavyoshahibiana!
Duh sasa kama wewe mtoa hoja hujui kuna mtu atajua kweli?Mheshimiwa John Shibuda ananikumbusha sana Chacha Wangwe, sijui kwanini?
simple. wewe ni mwanamke...inawezekana unakumbuka jinsi "shaft" zao zinavyoshahibiana!
I agree with you, over the last few years, watu wameongea mengi kuhusu CDM. Mara Wangwe, mara ukabila, udini ... Lakini watu wanaona na wanachambua. What doesnt kill you, only serves to make you stronger.....Chadema inabidi wamuache Shibuda afanye na aseme anavyotaka na wananchi watajua pumba na mchele ni upi.
Unamaanisha kuwa sasa CCM mnataka mumuue Shibuda kama mlivyomuua Chacha Wangwe kisha muwasingizie CDM? Mnayaweza sana,nikuulize FF safari hii mtatumia staili ile ile ya ajali au mtamteka kama babu yenu wa nchi jirani alivyomfanyia waziri wake wa mambo ya nje? Shauri yake shibuda mwenyewe.Mheshimiwa John Shibuda ananikumbusha sana Chacha Wangwe, sijui kwanini?
Unamaanisha kuwa sasa CCM mnataka mumuue Shibuda kama mlivyomuua Chacha Wangwe kisha muwasingizie CDM? Mnayaweza sana,nikuulize FF safari hii mtatumia staili ile ile ya ajali au mtamteka kama babu yenu wa nchi jirani alivyomfanyia waziri wake wa mambo ya nje? Shauri yake shibuda mwenyewe.
Unazi ni sawa kuwa mchawi tena wa wazi wazi!!!!!! Mimi siwezi kusema CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! CCM imefanya mengi ya maana na vile vile baadhi ya makosa hususani ya mikataba ambayo yanaigharimu nchi, hali kadhalika CDM ina mengi ambayo imeishtua CCM kutoka usingizini.Chadema Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa mfano?Unazi ni sawa kuwa mchawi tena wa wazi wazi!!!!!! Mimi siwezi kusema CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! CCM imefanya mengi ya maana na vile vile baadhi ya makosa hususani ya mikataba ambayo yanaigharimu nchi, hali kadhalika CDM ina mengi ambayo imeishtua CCM kutoka usingizini.
Shibuda ndani ya CDM ni kama alivyokuwa Makamba (katibu Mkuu wa CCM) kipindi kileeeee!Chadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
umechemsha, kama ni bingwa wa siasa angekuwa staa ndani ya magamba na sio cdmChadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
Sahihi mkuu huyu ni kama VIRUS yaani alipotemwa tu CCM na kuingia CDM na baadae CCM kuprove CDM ni threat kwao basi wakamnunua ili avuruge chama! Na kweli ameanza kwa mbwembwe kweli!Kusema ukweli Chadema ilichemsha kumakaribisha huyu mtu kwenye chama...
Aaah Faiza Fox, unajifanya hujui wakati wapangaji na watekelezaji wa mauji ni nyie wenyewe,wabaya sana nyie magamba, shauri yake Shibuda.Shutuma nzito sana hizo, kwani Chacha Wangwe aliuliwa?