sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Huyu mropokaji hana cha kufanya. Cha muhimu CHADEMA wafuate taratibu tu. Sana saana atakimbilia kurudi CCM aanze kusemea mbovu CHADEMA; hilo sio tatizo.
Kweli Kiranga, CHADEMA hapa ilichemsha, tena mno! Mimi tangu day one, sikupenda huyu jamaa aingie Chadema. Anyway, ndiyo kujifunza huko.
Jaribu kuwa great thinker! Uliingiaje humu?Chadema Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
All is not lost,
CHADEMA wanaweza kuamua kujifunza katika hili, au kujifanya shingo ngumu na kuendeleza tamaa za viti vya bunge bila tafakari yenye kina. Tunaangalia wateule wao wa ubunge 2015, kama chama kitakuwapo ( katika hi form) 2015.
Wangetusikiliza tuliokuwa tunawaambia huyu bwana ni timebomb tangu mwanzo wala wasingekuwa na matatizo haya sasa.
kwani shibuda ni nani ili aogopwe kufukuzwa. yaani jitu likiuke maadili na sera za chama chake halafu aachwe et kwa sababu ni shibuda...that is nonsense