Siyo bure unastahili viti maalumKilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.
Wewe umepata kiti maalum?Siyo bure unastahili viti maalum
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa,Magufuli hana muda huo,yeye anaifikiria CCM na Chato tu,hana mpango wowote na Tanzania ya kesho.KAMA UNATAFUTA KULA TUMIA NJIA NYINGINE,USITUMIE JINA LA TANZANIA KUSHIBISHA TUMBO LAKO.Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.
Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Nchi haiongozwi na mawazo ya mtu. Viongozi wanaratibu mawazo ya wananchi. Muhimu ni Rais anayesimamia anachokiamini ndani ya sheria na taratibu zilizokubaliwa na wananchi"MsemajiUkweli, post: 19505003, member: 91662"]Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Uchaguzi ndio unaoweka viongozi madarakani. Kufikiria kizazi cha leo na kesho ni pamoja na kusikiliza wengine wana mtazamo gani wa kizazi cha leo na kesho.Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.
Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Nilipoona hii clip sikuamini kuona maneno haya yanatoka kwenye mdomo wa Shibuda.Harudi tu CCM, tumwelewe.
Hilo tamko CCM wenyewe ndio walitakiwa kulitamka. Rais ampige chini. Mnafiki tu. Njaa inamsumbua tu. Mbona wakati wa Rais Kikwete hakumpamba hivi?
PorojoKilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.
Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.
Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.
Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Kama hukuamini maana yake hukuwahi kumjuwa Shibuda anatafuta ujira wa Mwiha hapo, na usisahau huyo jamaa ana uchu wa nyama na sifa yake ni nyingine ni Msukuma pia.Nilipoona hii clip sikuamini kuona maneno haya yanatoka kwenye mdomo wa Shibuda.