Shibuda ataka Rais Magufuli aungwe mkono

Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.

Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.

Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.

Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Ingekuwa hivyo basi asingefuta ajira na kuweka Helsb 15%
 
Boss mambio kwahiyo mpaka wafanane?

Pili sijasema wanafanana. Soma msg yangu vizuri.

Mwisho unipe maana na kazi za Upinzani.

Hawafanani kwa sababu hata wewe mwenyewe unajua kila utawala unatofauti na mwingine pamoja na kuwa nchi ni ileile pia katiba ni ileile. Rejea tawala ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete zote hazikufanana hata chembe. Pia ukitaka kujua maana ya upinzani rudi kipindi cha dokta Slaa, Zito, nk sio upinzani Huu wa kupinga kila jambo.
 
Boss mambio Naona haujanielewa.
Unachozungumza wewe mimi wala sijakipinga wala kubisha.

Kwa kukufafanulia, Kazi ya Upinzani ni Kukosoa, Kushawishi Wananchi kuwaunga mkono wao na kuwachagua wao waongoze Nchi.

Sasa Mpinzani anaposema, tumuunge mkono Rais wa Chama tawala, hapo ndipo sielewi.

Kitu ambacho upinzani wanatakiwa ni Kupongeza pale Rais na Chama Tawala kinafanya vizuri. Pongezi si Kosa la Jinai.

Hope umenielewa, nimekutafunia sasa.

Hawafanani kwa sababu hata wewe mwenyewe unajua kila utawala unatofauti na mwingine pamoja na kuwa nchi ni ileile pia katiba ni ileile. Rejea tawala ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete zote hazikufanana hata chembe. Pia ukitaka kujua maana ya upinzani rudi kipindi cha dokta Slaa, Zito, nk sio upinzani Huu wa kupinga kila jambo.
 
Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.

Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.

Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.

Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.

I really respect you, ukweli unaona mbali sana ndugu....Nakuunga mkono asilimia nyingi sana
 
Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.

Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.

Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.

Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Chukua Kiti Maalum Bi Dada
 
Sure thats good
 
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa,Magufuli hana muda huo,yeye anaifikiria CCM na Chato tu,hana mpango wowote na Tanzania ya kesho.KAMA UNATAFUTA KULA TUMIA NJIA NYINGINE,USITUMIE JINA LA TANZANIA KUSHIBISHA TUMBO LAKO.
Mna kelele
 
Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.

Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.

Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.

Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Magufuli Hana mpango na Tanzania yoyote iwe ya Leo au ya kesho. Yeye anachojali Ni ego yake tu na ndugu zake.

Kujipendekeza kwake na kwa viongozi wengine tunajua ni kawaida ya watu wa aina yako wala hatuna haja ya kukushangaa.
 
Huyu mzee mbona hamwambii Rais kumaliza mchakato wa katiba ambayo imewagharimu walipa kodi mabilioni. Na sasa hakuna chochote kinachoendelea.
 
Kuna bodi ambayo haina mkuu?
Kuna nafasi wazi ya dc mmoja mjeda aliyejifanya kuwaletea za kibashite watu mwisho wa reli huko nao wakamua na isiwe Shida wakampiga kipapai cha kufa mtu, hadi dc akaomba poo wakamrudisha jeshini.
Labda ndio anaimendea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom