Shibuda ataka Rais Magufuli aungwe mkono

Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.

Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.

Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.

Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Nilifikiri muhimu ingekuwa Rais anayesimamia na kuheshimu Katiba, na sio yule anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua. Na ninadhani mtazamo kama huu haupaswi kupewa nafasi hata chembe! Na ungeacha kudanganya hapa kwamba Rais Magufuli hafikirii uchaguzi wa leo na kesho, kwani tusingekuwa tunaona haya tunayoyaona. Wakati mwingine muwe mnaona aibu japo kidogo!
 
Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.

Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.

Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.

Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Msema kweli,
Naomba nisikitike kwanza.
Hapo kwenye red ni hatari sana mkuu.
Kwa hiyo tukipata raisi mwenye kuamini uchawi basi iwe sawa tu kwa vile raisi anasimamia anachokiamini?
Sio anaeamini na kuheshimu Katiba na sheria za nchi?
 
Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.

Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.

Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.

Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.

Angekua anafikiria kizazi cha leo angetoa ajira na angekua anafikiria kizazi cha keshi angewapa mkopo wanafunzi ili wasome.
 
Kilicho cha muhimu katika siasa za Tanzania ni kuwa na Rais anayesimamia kile anachokiamini na kukiamua.

Siasa za Tanzania zinahitaji Rais anayefikiria kizazi cha leo na kesho lakini sio uchaguzi wa leo na kesho.

Rais magufuli ni mmoja kati ya Marais wanaofikiria kizazi cha leo na kesho na sio uchaguzi wa leo na kesho.

Love him or loathe him, Rais Magufuli the same yesterday, and today, and forever.
Kama unaamini Mungu yupo, sifa ulizompa rais Magufuli ni Mungu pekee mwenye sifa hizo
Naona humtendei haki. Ukweli ni kuwa unamdhihaki.
 
Bure kabisa!!!! Siku zote ukiachia tumbo lifikiri kwa niaba ya Kichwa basi Mambo kama haya ni kawaida kuyasikia!!!
 
Kama hukuamini maana yake hukuwahi kumjuwa Shibuda anatafuta ujira wa Mwiha hapo, na usisahau huyo jamaa ana uchu wa nyama na sifa yake ni nyingine ni Msukuma pia.
hizi njaa za kuanzia ujanani hadi uzee ni mbaya mno.kujikombakomba kwa mtu mzima ni aibu sana hata wanao hawatakuheshimu hata kama ni wewe ndio daily bread provider mana hawana cha heshima cha kujifunza kwako.
 
maxresdefault.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom