Shibuda asisitiza yeye ni Rais 2015

Shibuda asisitiza yeye ni Rais 2015

Shibuda ni mpiga makelele tu wa CCM. Its time for CDM to chuck him off before its too late anatuharibia mageuzi tunayohitaji nchi hii badala yake tunapoteza muda kusoma maneno ya kipumbavu ya huyu Shibuda. CDM mfukuzeni kwenye chama bora samaki mmoja akioza kuliko tenga zima!
 
tumemzoea huyu , hata kabla ya uchaguzi 2010 alisema angempiku JK.
 
kuna utaratibu wa chama siyo kujitangaza tu

@Level huo utaratibu ndio upi? kila leo CDM inapokea wanachama toka CCM wanachopewa ni kadi ya uanachama na siyo katiba hao ni pamoja na Mh Shibuda; sasa kama katiba hawana huo utaratibu unaodai upo wataujuaje?
 
Tuache kushabikia siasa za kijinga za shibuda.huyu hana akili.kama anaamini ccm bado kio vizuri kwanini anuota urais?nahisi kuiwa huyu bwana ametumwa na mzee mwenye mvi za kuchonga ili kuweka mambo sawa lakinbi ajue kuwa amechelewa kwani watanzania wam,eamka.kama anautaka uraisi kuna taasisi nyingi tuu zenye cheo cha uraisi kama vyuo vikuu na hata klabu za soka na bao aende huko.
 
Uraisi hausomewi....kila raia ana haki ya kugombea nafasi cha msingi afuate taratibu zilizopo...ukimkimbiza chizi alieiba nguo zako watu watashindwa kukuelewa
 
CDM leadership has already placed him where he belongs. In a political dustbin! Kama vile hayupo. We should do the same.
 
jamani si shangai la shibunda kule usukumani kuna sera ya kuwa rahisi wa wachawi may be shibuda hajamuelewa pengine anahitajika Ngamboshi ili awe rais wa kuzimu msimshangae sana hili lawezekana wasukuma Noma Ngamboshi inatisha kuna mji hata tanzania haupo, full starehe, barabara juu na chini, hakuna kulima nikuvuna tu maisha mstarehe kabisa. nakutakia mafanikio Shibuda!

Acha matusi we mbweha,fisi maji mkubwa weee,ona lilivyolijinga!Ongelea shibuda kama shibuda na siyo wasukuma, wala eneo la usukuman.Wasukuma ni wastaarabu sana huwez kuongea upuuz tukakwaangalia tu! Wasukuma wangekuwa na ubinafsi na roho mbaya wee mpuuz ungejificha wapi?tz hii wasukuma wakiamua kupendeleana wee kinyago utapata nini?hata kazi ya kufagia choo huipati.Watanzania tuheshimiane si mmakonde,mngindo,mchaga wala msukuman,nyerere alifanya kaz kubwa sana,tuiheshimu hiyo kazi.CHADEMA imechukua majimbo mangapi usukuman we *****?leo unabwabwaja maneno yasiyokuwa na msingi,umekunywa gongo ukaingia jf? Mijitu mingine bana,imelaaniwa! Au ndio kuanza kushika dola nini? Inakasirisha sana.
 
Kiongozi una hasira sana..
 
Shibuda sisi WASUKUMA tuko pamoja na wewe, acha na hao wachaga wasikutishe.
Ntoho tabhu bhabha ole ng'wana ontemi.
 
Acha matusi we mbweha,fisi maji mkubwa weee,ona lilivyolijinga!Ongelea shibuda kama shibuda na siyo wasukuma, wala eneo la usukuman.Wasukuma ni wastaarabu sana huwez kuongea upuuz tukakwaangalia tu! Wasukuma wangekuwa na ubinafsi na roho mbaya wee mpuuz ungejificha wapi?tz hii wasukuma wakiamua kupendeleana wee kinyago utapata nini?hata kazi ya kufagia choo huipati.Watanzania tuheshimiane si mmakonde,mngindo,mchaga wala msukuman,nyerere alifanya kaz kubwa sana,tuiheshimu hiyo kazi.CHADEMA imechukua majimbo mangapi usukuman we *****?leo unabwabwaja maneno yasiyokuwa na msingi,umekunywa gongo ukaingia jf? Mijitu mingine bana,imelaaniwa! Au ndio kuanza kushika dola nini? Inakasirisha sana.

Kaka usikasirike sana, dawa ya hawa Wachaga ni kuwanyima kura tu.
Kazi yao ni kudharau wengine, wamemchora WASIRA na kumfananisha na Sokwe wasifikiri kuwa watu wa Mara wanafurahia kumfedhehesha Mkurya wao, utadhani huko Kilimanjaro wanazaliwa wazungu tu.

Kwa taarifa yenu wachaga mnachukiwa NCHI NZIMA.
 
Ni kosa,utatangaza pale mkutano wa chama utakapoamua wagombea waanze kujinadi vinginevyo ni kukiuka utaratibu wa chama
 
Huyu jamaa ana "grandiose delusions", he needs a psychiatrist........ Seriously jamani
 
Nilifikiri watanzania ndiyo wamesema, kumbe ni yeye kwa mata ko.....oh sorry matakwa yake. Anaweza kugombea as mgombea binafsi si lazima kupitia CDM maana nina hakika hawezi kupitishwa na CDM kama hawezi kusimamia misingi na itikadi za chama kilichompeleka bungeni.
 
Zomba,
Unaona sasa? Kumbe si Zitto peke yake ndani ya Chadema anayetaka urais. Sasa nawashauri hawa wawili wachuane
na wote wabwagwe chini ili Chadema ichague mtu asiyejitangazatangaza kuwania urais kwenye vyombo vya habari.
.....salaaleh......! bundi yuko ktk 18 za "movement"....kama katiba mpya itaruhusu mgombea binafsi wa uraisi....nahisi wa 3 watatoka "kwetu"..akiwemo mzee wa ujira mwia...
 
Labda kama atakuwa rais wa wagonjwa wa vichwa na wanafiki
 
mhm! shibuda rais!!!!!!!!!???? may be ngoja tuone...

Kuna rais wa wachafu, wa bendi, wa majuha na wengine wengi I think not what we think

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
awali nilkuwa namuonakama mtu anayeleta changamoto nadni ya chama, lakini sasa namna ni mtu hatari si kwa CDM tu bali kwa upinzani wote

msimamo huu nautua baada ya kuisijia moja ya kauli zake tata last week alipo kuwa akihamasisha serikali kuwafungulia kesi wapinzani na vyama vyao ili vifilisike
 
Back
Top Bottom